Quantcast
Channel: Makubwa Haya website entertinment celebrity News of Tanzania
Viewing all 6599 articles
Browse latest View live

Diamond, Zari washinda tuzo Uganda

$
0
0

jbna (1)STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ pamoja na mchumba wake Zarinah Hassan ‘Zari The Bossy Lady’ wamepata Tuzo za Abryanz Style and Fashion (ASFA 2015) zilizofanyika Kampala, Uganda usiku wa kuamkia leo.Wawili hao wameibuka kidedea katika kipengele cha East Africa Most Stylish Couple.
Mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda naye ameibuka kidedea katika tuzo hizo kwa kipengele cha Mbunifu Bora wa Mwaka huku Mwanamitindo Bora wa Mwaka ikienda kwa Mtanzania mwingine, Dax Hannz.
Mbali na hao, pia Tanzania imepata tuzo kupitia staa wa kike wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee aliyepata katika kipengele cha East Africa’s best Dressed Female Artist.
Katika sherehe hizo zilifunikwa kwa shoo kutoka kwa mkali kutoka Nigeria, Banky W akishirikiana na bidada kunako Bongo Fleva, Linah.
Orodha kamili ya washindi ipo hapa chini….
  1. Male Continental style & fashion influencer.
Jerry swanky (Nigeria)
  1. Female Continental style & fashion influencer.
Bonang Matheba (South Africa)
  1. East Africa’s most stylish couple.
Zari and diamond(Tanzania)
  1. Special Recognition in Fashion.
Aamito Stacie Queen (Uganda)
  1. Most fashionable music video
Lelo Tompona by Leila Kayondo feat. Radio
  1. Stylist of the year.
Chuck Salvator
7.Best dressed male media personality of the year.
Tazibone Solomon(NTV)
  1. Best dressed female media personality of the year.
Flavia Tumusiime(NTV )
  1. Best dressed male corporate personality/businessman
Joel Kamadi (NTV )
  1. Best dressed female corporate personality/businesswoman
Jennifer Musisi – (KCCA)
  1. Fashion brand of the year.
Emperio Milano
  1. East African model of the year
Females:
Harieth Paul (Tanzania)
Males:
Dax Hannz
  1. Most stylish Male Ugandan in the Diaspora
Ddumba Adams(South Africa)
  1. Most stylish Female Ugandan in the Diaspora
Doreen Faith(UK)
  1. Male Fashionista of the year
Bugeme Williams
  1. Female Fashionista of the year
Yasha Keys
  1. Lifetime Style & Fashion Icon Achievement Award.
Princess Elizabeth Bagaya
  1. Most stylish Male Celebrity
Eddy Kenzo
  1. Most stylish Female Celebrity
Judith Heard
20.Best Dressed Male Guest
To Be added
21 Best Dressed Female Guest
To be added
22 East African fashion designer of the year
Martin Kadinda(Tanzania)
23 Fashion designer of the year
Raphael Kasule
24 Upcoming fashion designer of the year
To be added
25 Outstanding Male Model Uganda
Mushema Housen
26 Outstanding female model Uganda
Ramona Fouziah
  1. Upcoming male model of the year
Allan Kimererwa
  1. Upcoming female model of the year
Loraine Barusha
  1. Makeup artistes 2015
Nahya Shero
  1. Best fashion writer/blogger of the year
Samson Baranga
  1. Lifestyle fashion photographer of the year
Giulio Molfese
  1. Best fashion supporting brand/personality
Ciroc
  1. Best fashion contributor in the Diaspora
Alecool Clothing (UK)
  1. Best model management
Joram model management
  1. Best hair stylist/hair dressers
Lords and ladies
  1. Best dressed Male politician
Mukasa Mbidde
  1. East Africa’s best Dressed female Artist
Vanessa Mdee
  1. East Africa’s Most Stylish Male Artist
Sauti Sol

Hatua nne za ugonjwa wa vidonda vya tumbo

$
0
0
urlWiki iliyopita tuliahidi kuelezea hatua nne za mtu kuugua ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tunaeleza kama ifuatavyo:
Mgonjwa wa vidonda vya tumbo (Ulcers) asipopata tiba, tindikali nyingi iliyozalishwa hushuka na kuingia kwenye utumbo mdogo na kuharibu mfumo wa mmeng’enyo au usagaji wa chakula kwa kuwa vimeng’enyo vya utumbo mdogo hushindwa kufanya kazi kwenye mazingira ya tindikali.
Hali hii husababisha kuharibika kwa uteute wa sehemu hii ambao ndiyo ulinzi wa utumbo mdogo na matokeo yake ni mtu kuwa na vidonda tumboni pia kwenye utumbo mdogo yaani (duodenal ulcers).
Kuna dhana iliyozoeleka kuwa vidonda vya tumbo huathiri zaidi mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo (stomach). Dhana hii si kweli kwani sehemu inayoathiriwa zaidi na tatizo hili ni sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo ijulikanayo kama Duodenum.
Dalili ya mwanzo kabisa ya ugonjwa ni ule uvimbe tuliosema unajitokeza sehemu ya ndani ya tumbo, ambao huambatana na maumivu makali ya tumbo ya mara kwa mara, tumbo kujaa gesi, kichefuchefu cha mara kwa mara, kiungulia kikali pia kutapika kwa baadhi ya wagonjwa.
HATUA YA PILI
Hatua ya pili vidonda hujitokeza sehemu zenye uvimbe na taratibu vidonda hivyo huongezeka na kuwa vikubwa.
Ni katika hatua hii mgonjwa huwa na maumivu makali ya tumbo yanayodumu kwa muda mrefu, tumbo kujaa gesi wakati wote, kukosa hamu ya kula, choo kuwa kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu.
Hali hii ya kukosa choo kwa muda mrefu hujulikana kama Chronic dispepsia-yaani kushindwa kufanyakazi kwa mfumo wa kusaga au kumeng’enya chakula kutokana na tindikali nyingi inayozalishwa tumboni.
Tindikali nyingi inayozalishwa tumboni huingia kwenye mzunguko wa damu, mgonjwa hujisikia uchovu na kizunguzungu cha mara kwa mara, homa hasa nyakati za jioni na pia mgonjwa hupoteza uzito wa mwili. Katika hatua hii tindikali husababisha magonjwa ya ini na figo.
HATUA YA TATU
Hatua ya tatu ambayo ni ya hatari ni kwamba vidonda vikubwa hupasua mishipa midogo ya damu na kusabababisha damu kuvia tumboni na kubadilisha rangi ya choo cha mgonjwa kuwa ya kahawia.
Damu nyingi ikivia tumboni mgonjwa hutapika na kuharisha damu, hali hii husababisha mgonjwa kuishiwa damu mara kwa mara, maumivu makali ya tumbo huongezeka, homa, maumivu ya viungo na kukosa hamu ya chakula.
HATUA YA NNE
Hatua ya nne ya vidonda vya tumbo ni mtu kukumbwa na saratani ya utumbo na ni hatua ambayo ni ya hatari sana kwa kuwa vidonda hutengeneza tundu katika tumbo au utumbo mdogo na kusababisha kuoza kwa viungo muhimu vya ndani na matokeo yake ni saratani au kansa ya utumbo.

LEMUTUZ ATOA UFAFANUZI WA VIBALI DR MWAKA

$
0
0


Ok guys kama nilivyosema ninarudia tena Dr.Mwaka ni rafiki yangu na ni my Client ni mtumzima mwenye akili timamu sijawahi kuwa na sababu ya kum doubt leo nimemtaka in private anihakikishie kwamba hizi tuhuma si za kweli na AMEFANYA HIVYO amenitumia kila kinachotakiwa Ku prove tofauti na kila anachotuhumiwa...nilitaka kujiridhisha na so far nimeridhika ana kila anachotakiwa kuwa nacho kufanya yote anayoyafanya...nilitaka kuweka wazi hilo tu NIMERIDHIKA unless nije niambiwe tofauti again nitasema...again sijawahi kumkimbia rafiki akiwa kwenye matatizo NEVER...in my life huwa sijibizani na yoyote anayemuhusu ndugu yangu wa damu NEVER maana nitakuwa namvunjia heshima anayemuhusu na siwezi kugombana na damu yangu kwa sababu ya MTU wa kupita hapana...nilipokuwa Baharia kuna wakati tulikuwa na safari ya Europe to Brazil ni lazima kupitia "BERMUDA TRIANGLE" mahali pa hatari sana ambapo hata kampuni yako ya Meli inakupa options za kubadili Meli usiende pale maana mkifika pale Meli inaweza kuzungushwa na Maji wiki nzima ndio mkaweza kupita na ukipita pale unaongezwa Mshahara binafsi nilipita Mara tatu in my Six years ya Ubaharia wangu. So sio mgeni wa kuchafuka bahari....my point is hakuna kazi isiyokuwa na "BERMUDA TRIANGLE" Social Media INA FAIDA na HASARA zake ila to me FAIDA ni kubwa kuliko HASARA so ni ya kawaida kusingiziwa singiziwa lakini in the end THE TRUTH WILL PREVAIL so again tayari nimejiridhisha na Dr. Mwaka sasa imebaki Naibu Waziri na again ninamtakia heri na niaamini UKWELI UTAJULIKANA WOTE TUTAKUWA HURU makosa ni kumuhukumu MTU bila FACTS just because Fulani kasema kama ushahidi WOTE alionipa Dr. Mwaka ni wa kweli basi TUTAKUWA na aibu ya the Century by leo jioni! JAMANI ASUBUHI NJEMA! - le Mutuz

angalia video Naibu waziri wa afya Kigwangalla atimba ofisi za dr mwaka

SIASA ZA TANZANIA;Wanne Wakataa Uwaziri wa Magufuli Wakihofia Kushindwa Kuendana na Kasi Yake

$
0
0

WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi.

Hatua hiyo imetokana na kile kilichoelezwa kuwa ni hofu ya wabunge hao kushindwa kwenda na kasi ya Rais Dk. John Magufuli, ambaye aliwaapisha mawaziri wapya Desemba 12, mwaka huu.

Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, wabunge wamedai kuwa kasi ya Rais Magufuli inawatia hofu.

“Kasi ya Rais Dk. John Magufuli ni nzito na kwangu ni ngumu na nilifikiri niko mimi peke yangu kumbe baada ya taarifa hizi nasikia na wenzangu wawili nao walikataa uteuzi.

“Niliarifiwa juu ya uteuzi lakini baada ya kupima nikaona hapana siwezi kazi ya uwaziri, bora ni baki na ubunge wangu,” alisema mbunge huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe.

Wizara 4 zilizokosa Mawaziri
Wakati akitangaza Baraza la Mawaziri, Desemba 10, mwaka huu, Rais Magufuli alisema kuna baadhi ya wizara hazina mawaziri kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo unyeti wa wizara hizo na kwamba anaendelea kuwatafuta.

Kutokana na hali hiyo Rais Magufuli aliteua manaibu waziri wa wizara hizo, huku akitoa ahadi kuwa atawatangaza mawaziri wake baadaye atakapomaliza mchakato.

Wizara hizo ni pamoja na Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu ambayo naibu wake ni Mhandisi Edwin Ngonyani na Wizara ya Fedha na Mipango, ambayo naibu wake ni Dk. Ashatu Kijaji.

Wizara nyingine ni Maliasili na Utalii, ambayo naibu wake ni Mhandisi Ramo Makani, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ambayo naibu wake ni Mbunge wa Jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma, Stella Manyanya.

Kinana atoboa siri
Mwishoni mwa wiki akiwa mkoani Arusha, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, alitoa siri ya wabunge wanne ambao walipigiwa simu za uteuzi wa uwaziri, lakini walikataa kwa hofu ya kushindwa kwenda na kasi ya Rais Magufuli.

Alisema anachoamini ni kwamba Rais John Magufuli, atakuwa aliwaeleza baadhi ya wabunge kuhusu nia yake ya kuwateua katika nafasi hizo, lakini wao wakamwomba asiwape majukumu hayo kwa kuwa hawana uhakika wa kwenda na kasi anayohitaji katika Serikali yake.

Kinana alisema kinachojitokeza sasa ni kama alivyoshauri Rais Magufuli kuwa si vema kwa waziri aliyeteuliwa kufanya sherehe nyumbani kwake na kuita marafiki kwa kuwa wana mzigo mzito katika kuwatumikia wananchi.

“Ni vema mawaziri hawa wakafanya maombi kwa kuwaita au kuwafuata viongozi wa dini kwani wana kazi ngumu kulingana na nia njema aliyonayo Rais Magufuli katika kupambana na masuala ya ufisadi.

“… kazi ya kupambana na ufisadi kamwe si rahisi hadi kushangilia uteuzi, lengo kubwa ni kuwaletea wananchi maendeleo kupitia ubinafsishaji wa viwanda kutoka kwa watu waliomilikishwa na kuviua,” alisema Kinana.

Katibu mkuu huyo wa CCM, alisema anaunga mkono uamuzi wa Rais Magufuli wa kufuta maadhimisho ya Siku ya Ukimwi dunaini, hali ya kuwa wagonjwa hawana dawa.

“Nyingine ni Wiki ya Maji, mnafanya maadhimisho huku watu hawana maji, Wiki ya Maziwa wakati wafugaji wamekonda na mifugo imekonda haitoi maziwa, fedha hizo zitumike kwa mambo mengine,” alisema Kinana.

habari mpya kuhusu dr mwaka;Mwanasheria Albeto Msando Afunguka Kuhusu Dr Mwaka....Adai Walikuwa Wapi Siku Zote

$
0
0
Kuna watu watasema ni wivu! Kuna wengine watasema Mwaka ni tapeli! Kuna ambao watakuwa upande wa Kigwangwala na kuna ambao watakuwa kwa Mwaka. Ila je kwa nini mpaka leo hii tiba inahojiwa? Siku zote mamlaka husika zilikuwa wapi? Hao waliotibiwa wakapona wako wapi? 
Ambao hawajapona ni kina nani? Mkurugenzi wa Baraza la Tiba Asili mpaka anafika hapo kwenye 'kliniki' alikuwa hajui kama Mwaka ana vyeti au la? Hakuwa na taarifa zozote za ziada? Je Babu wa loliondo ilikuwaje? Wanaotibu mapenzi na kupata kazi vipi? Wale madaktari wa kusafisha nyota? Au hao kuku weusi wanaokula sio dhuluma? Nadhani Naibu Waziri ameanza kushtukiza ila AENDE NA KWENYE VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI PIA. Kuna hao madaktari waliosomea na wao ni bure kabisa huko!! Hili la Mwaka kilichomponza ni kupitiliza!! Wote huwa inatukuta tukinogewa!! Sasa ndio atajua kama bado WATAMPENDA
By Alberto Msando-Instagram

Baada ya Mange Kimambi Kumlipua Dr Mwaka, Leo Dr Mwaka na Wasaidizi Wake Wamkimbia Naibu Waziri wa Afya

$
0
0
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala leo majira ya jioni amefanya ziara ya kushtukiza  katika kituo kinachotoa tiba mbadala cha Foreplan Clinic kinachomilikiwa na Dk. Mwaka Juma Mwaka  kilichopo Ilala Bungoni na kujionea hali halisi ya kituo hicho. 
Mara baada ya kufika alianza kufanya ukaguzi kuanzia sehemu ya Mapokezi mpaka kwenye vyumba vya matabibu lakini katika vyumba vyote hakuna daktari aliyekuwa anatoa huduma.
Akizungumza na wagonjwa waliokuwa wakisubria tiba alisema kuna waliofika katika kituo hicho ili kutibiwa lakini kituo hicho hakina uwezo wa kuwahudumia wagonjwa hao.
Katika ziara hiyo ya kushtukiza ambayo Dr Mwaka na wasaidizi wake walikimbia, msaidizi wa Dk. Mwaka, Bi Teddy L. Mbuya alisema yeye hawezi kusema lolote kuhusu kituo hicho maana yeye sio msemaji mkuu,hivyo alimwomba Naibu waziri kufanya ukaguzi katika kituo hicho pamoja na kuwauliza maswali wahusika mbalimbali wa vitengo vya kituo hicho.
Baada ya ukaguzi wa kituo hicho, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala amemwagiza Mkurugenzi Msaidizi Tiba Asilia na mbadala Dk.Paul Mhame ndani ya wiki moja kufanya ukaguzi kwa  kituo cha Dk. Mwaka na aletewe taarifa iliyokamilika kuhusu taaluma ya Dr. Mwaka  pamoja na washirika wake na pia dawa anazozitumia kama ni rafiki kwa wananchi wanaotumia dawa hizo.

Pia amesema Dk Mwaka Juma Mwaka amekuwa akijitangaza kupitia vyombo mbalimbali hapa nchini jambo ambalo ni kosa kisheria.

Alisema madaktari wana miiko na katika miiko hiyo ambayo inatumika  mojawapo  ni kutojitangaza.

 Naibu waziri aliendelea kusema kuwa Dk. Mwaka amekuwa akijiita Dokta na amekuwa akichambua mwili wa binadamu kama vile amesomea udakitari wakati sheria ya tiba asilia na tiba mbadala hairuhusu watu wa tiba Asilia na Tiba Mbadala  kutumia maneno  ya tiba ya kisasa.

Pia Naibu Waziri amemtaka Dk. Mwaka Juma Mwaka kufika wizarani kesho saa mbili asubuhi akiwa na nyaraka zake zote zinazohusu utoaji wa huduma ya Tiba Mbadala kwani amekuwa akijiita majina ya tiba za kisasa na pia kutibu kwa njia ya kisasa badala ya kutibu kwa njia ya Asilia au Tabibu.

sports;Arsenal eyeing trio of defensive midfielders? Transfer news and gossip from Tuesday's papers

$
0
0


All will be fine: Wenger could be tempted into the transfer market after being drawn Barcelona yesterday
Leicester returned to the top of the Premier League last night after easing past out-of-form Chelsea last night.
Jamie Vardy and Riyad Mahrez were the heroes once again to help the Foxes back to the summit.
Arsenal leapfrogged Manchester City in the table following Sunday's win over struggling Aston Villa.
Tottenham and Liverpool both failed to take advantage of Manchester United's defeat at Bournemouth in the race for the top four, with pressure turning up a notch on under-fire Louis van Gaal after the 2-1 reverse.
But will any of this lead to changes in January? Here is the latest gossip from transfer world.
Best Premier League pictures from the weekend:

Stories from today's Daily Mirror

Chelsea have been warned £29m-rated Shakhtar Donetsk midfielder Alex Teixeira's price will skyrocket in the summer if they don't buy him next month.
Liverpool boss Jurgen Klopp is reluctant to make ANY signings in the January window - despite being offered funds to bring in new players by his American owners.
West Brom will consider handing Kerim Frei a Premier League return if they miss out on QPR’s Matt Phillips. Besiktas are offering former Fulham forward Frei around the Premier League on loan and the Baggies fear new Hoops boss Jimmy Floyd Hasselbaink will refuse to sell Phillips next month.
Reuters / Phil NobleJurgen Klopp celebrates after Divock Origi scores Liverpool's second goal
Happy with his lot: Klopp doesn't want to make ANY signings in the January transfer window
Marcelo Bielsa is the latest contender to enter the frame for the Swansea job as chairman Huw Jenkins begins to narrow down the list of contenders to succeed Garry Monk.
Manchester United have confirmed they will cut ticket prices by around 25 per cent for Europa League games at Old Trafford.
Simon Mignolet looks dejected after Jonas Olsson scored the second goal for West Brom
New deal: Mignolet is expected to put pen to paper by Christmas
Jurgen Klopp has backed calamity keeper Simon Mignolet – by handing him a new contract. The Liverpool manager sprang to the defence of his Belgium international after a howler against West Brom put the stopper in the line of fire for disgruntled Reds fans.
Crystal Palace moved a step closer to sealing a cash injection from billionaire American investors on Monday night.

Top stories from other newspapers and websites

Chelsea will look to continue their £40million pursuit of John Stones in January. (Daily Express)
Andros Townsend is looking for a move away from Tottenham this January with West Brom and Newcastle among those interested. (Bleacher Report)
Juventus are eying a move for Chelsea midfielder Oscar. (Daily Mail)
GettyLeicester v Chelsea
Juve been linked before: But could Oscar leave Chelsea this January?
Arsenal are likely to intensify their search for a holding midfielder in January after being drawn against Barcelona in the Champions League, with William Carvalho, Grzegorz Krychowiak and Ruben Neves among those under consideration. (The Times)

Kenyans Move Over, This Is How Sexy Ugandan Mamies Turn Up For Fashion Events

$
0
0
Lets all clap for the Ugandans, at least they know how to dress up for award shows. 
 I think one of the most unsightly things we have ever seen were the pulse music awards on Tv, guys showed up dressed like Eastlando touts. T-shirts and jeans ans odd looking dress shoes. 
We cannot however ignore  the few guys that made efforts to look good, Jamal Gadaffi and Kagwe Mungai who  was in the company of his groupie. It is Uganda we however want to shed the spotlight on, last weekend during the ASFAS ugandans showed the world how to hold an awards ceremony. 

Ugandan ASFAS Awards

Prince Harry and Pippa Middleton are rumoured to be dating

$
0
0
The world loves speculating about Prince Harry's love life because, he is an eligible prince—and until he settles down like his big brother Prince William—which Harry says he's ready to do—every person with dreams of being a real-life royal will think there's still a chance to somehow meet Prince Harry and convince him that she's the right person for him.

According to OK!, he has been having a "secret romance" with Pippa Middleton for several months. Their source says the two have been flirting for years, “They’re trying to play it coy,” the "source" said. “But there’s no doubt that this is developing into something serious.
Now, Prince Harry falling for Pippa, sister to Harry's sister-in-law Kate Middleton, seems too good to be true, which likely means it's just that: not true. But wouldn't it be so amazing if it were true though. They look so good together.

GLOBALPUBLISHERS UPDAT ;Watoto wa vigogo TRA wamiliki majumba mabilion

$
0
0
MPANGOKaimu Kamishna Mkuu wa TRA, Dk. Philip Mpango.
Na Mwandishi Wetu
KIMENUKA tena! Wakati Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ akiendelea kusimamia zoezi la kutumbua majipu katika sekta na idara za umma kote nchini, imebainika kuwa baadhi ya vigogo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamewamilikisha watoto wao wenye umri wa miaka mitatu hadi saba, majumba yenye thamani ya mabilioni ya shilingi, Uwazi linaripoti.
TUJIUNGE NA CHANZO
Chanzo makini kilicho ndani ya TRA kimeliambia gazeti hili kuwa vigogo wengi wa mamlaka hiyo, walio makao makuu jijini Dar es Salaam na mikoani, wamekuwa wakiwaandikisha watoto wao kuwa wamiliki halali wa majumba na vitega uchumi vyenye thamani ya mabilioni ya shilingi vilivyopo katika maeneo mbalimbali nchini.
IMG_0092
Mfano wa majumba wanayomiliki.
“Wanafanya hivyo ili kukwepa mkono wa sheria kama wataambiwa kutaja mali walizonazo. Kwa hiyo unakuta jengo kama lile la… (anatajwa kigogo wa TRA anayemiliki jengo la ghorofa sita, lililopo Masaki jijini Dar) hati yake imeandikwa kumilikiwa na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka saba.
“Serikali isikubali kudanganywa kirahisi namna hii. Hawa wamiliki wa majengo ya watumishi wa TRA watafutwe, kama mtoto wa miaka saba anaweza kumiliki jengo la mabilioni kama lile, aeleze alizipata wapi fedha hizo katika umri mdogo kama huo huku bado anasoma. Huku ni kuingizana chaka, yaani wanaiba mpaka wenyewe wanajihisi vibaya.”
WATOTO WAMILIKI PIA MAKAMPUNI
Licha ya watoto hao wengine wa miaka mitatu, minne hadi saba kumiliki majengo na vitega uchumi vingine, imedaiwa pia watoto hao wa vigogo, ni wamiliki wa kampuni mbalimbali za baba zao zilizosajiliwa na ambazo nyingi zinafanya biashara na serikali kwa njia ya udanganyifu.
“Kitu ambacho watu wa serikali wanapaswa kujua ni kwamba, hawa vigogo wana kampuni nyingi wanazomiliki, zingine zinafanya kazi za Clearing and Forwarding (kutoa na kuingiza mizigo nchini).
maxresdefault (2)“Hizi kampuni zinafanya biashara na serikali na mara nyingi ndizo zinazohusika kufanya udanganyifu unaosaidia ukwepaji wa kodi,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Kwa kuwa hawa baadhi ya vigogo wa TRA wanashirikiana na vigogo wa idara nyingine, kampuni za watoto wao zinafanya biashara katika sehemu hizo pia. Hapa ndipo ile sheria ya manunuzi ya serikali inapotumika kutoza ada kubwa ya huduma ambazo zipo chini ya kiwango.”
WAKE, NDUGU NAO WAMO
Mbali na watoto hao wa vigogo, taarifa zinaonesha kuwa hata wake wa wafanyakazi hao nao ni wamiliki halali wa majengo yao ya kifahari ambayo watumishi hao wamejenga katika maeneo mbalimbali, yakiwemo mahoteli katika mbuga za wanyama, katika fukwe na sehemu nyingine zenye hadhi. Pia wake hao, mitaani wanaonekana wakiendesha magari ya kifahari.
“Wake zao wanatanua na magari ya kifahari, ya kisasa, kumbe ni pesa ya serikali. Lakini ukiacha wake zao, wako pia ndugu wa karibu wa watumishi wenyewe, kama kaka na dada zao, ambao wameandikishwa kama wamiliki, lakini wote tunajua kuwa hiyo ni ‘bosheni’ tu, wenye mali wenyewe wanajulikana,” kilisema chanzo hicho.
maxresdefault (3)WANATUMIA KIGEZO CHA SHERIA
Inadaiwa kuwa, baadhi ya vigogo hao wanajua endapo serikali itawatokea kwenye majumba hayo na kukuta majina ya wamiliki si yao, ni vigumu kwa wao kufilisiwa kutokana na sheria za nchi ambapo ushahidi usio na shaka unatakiwa ili kumtia mtu hatiani.
BOSI TRA ATANGAZA KIAMA
Wakati hali ikiwa hivyo, Desemba 2, mwaka huu, Mkurugenzi wa Mambo ya Ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Stella Cosmas, alitoa waraka maalum kwa wafanyakazi wote kutakiwa kuwasilisha tamko la mali na madeni waliyonayo kabla ya leo (Desemba 15, mwaka huu).
Katika waraka huo, mkurugenzi huyo alionya kuwa mtumishi yeyote atakayekiuka, ikiwa ni pamoja na kuwasilisha maelezo ya uongo, atachukuliwa hatua kali za kinidhamu kama zilivyoainishwa katika kanuni za utumishi za serikali na TRA.
WAFANYAKAZI MATUMBO MOTO
Kufuatia amri hiyo na uwezekano mkubwa wa kufilisiwa mali zao, inadaiwa kuwa, baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo hivi sasa ‘matumbo yanawauma’ wakiwa hawajui nini kitatokea baada ya kuwasilisha mali wanazomiliki ambazo nyingi ni za mabilioni ya shilingi.
“Yaani ninakuambia hivi sasa hapa ofisini kunawaka moto, tena nasikia hadi huko mikoani nako usiseme, kila mtu hajui hatima yake ni nini kwa sababu karibu kila ofisa ana zaidi ya nyumba tatu au nne anazomiliki. Sasa ukichanganya na ukweli kwamba thamani ya nyumba hizo hazifanani na vipato, hali inatisha.
“Hatujui nini kitatokea, kila mmoja anamwomba Mungu wake kwa imani yake, lakini ukweli ni kwamba maofisa wa TRA wana ukwasi wa kutisha na majengo ya thamani pengine kuliko idara zingine za serikali,” kilisema chanzo hicho.
Gazeti hili lilijaribu mara kadhaa kuwasiliana na Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA, Dk. Philip Mpango (pichani) ili kupata maelezo yake juu ya sakata hilo, lakini mara zote simu yake haikupatikana hewani.

UMBEA NA UDAKU MASTAA BONGO TANZANIA;WEMA SEPETU ANASWA NA WIZI WA MAJI

$
0
0
wema_sepetu991Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu.


Ufisadi? Wakati soo lake la kubambwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akidaiwa kuliibia umeme kwa figisufigisu za kimjini, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, wikiendi iliyopita amenaswa tena akidaiwa kuifanyia ufisadi wa aina hiyo Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya jijini Dar es Salaam, Pwani na Bagamoyo (Dawasa).

NI SIKU CHACHE

Wema amekumbwa na msala huo uliofananishwa na ufisadi wa makontena bandarini, ikiwa ni siku chache baada ya gazeti ndugu la hili, Amani kuandika habari inayohusu mrembo huyo kuiibia Tanesco umeme.

IMG-20151212-WA0007
Mita ya maji iliyochezewa kwa Wema.
KUTOKA KWENYE MAMLAKA

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Mkurugenzi wa Biashara wa Dawasa, Everade Maswile Balati alisema kuwa baada ya kusoma habari ya Wema na Tanesco, aliwatuma wafanyakazi wa mamlaka hiyo kwenda kufanya ukaguzi wa mita ya maji nyumbani kwa mwanadada huyo maeneo ya Kijitonyama, Dar.

“Baada ya kusoma ile habari ambayo mliandika kupitia moja ya magazeti yenu (Amani), niliwasiliana na Meneja wa Dawasa wa Area ya Kinondoni, Judith Singinika aende na vijana wakafanye ukaguzi wa mita yetu nyumbani kwa Wema,” alisema mkurugenzi huyo.
NYUMBANI KWA WEMA

Alimwaga ‘ubuyu’ kuwa, baada ya wafanyakazi hao waliongozwa na meneja huyo wa Area ya Kinondoni kufika nyumbani kwa Wema, walimkuta mlinzi ambaye aliwawekea ngumu kuingia lakini hata hivyo, walifanikiwa kuingia ndani kwa njia waliyoijua wao.

Mkurugenzi huyo alisema, kwa mujibu wa wafanyakazi hao, walipoingia ndani waliwakuta wasaidizi wa Wema ambao walipowaona walijua palikuwa na tatizo hivyo wote wakakimbilia ndani, wakafunga milango na kuanza kuwachungulia kupitia madirishani.
wema
Msala wa umeme kwa Wema.
WAKUTA MITA IMEGEUZWA

“Walipoingia ndani waliwakuta wasaidizi wa Wema nahisi alikuwepo na huyo sijui anayeitwa Petit Man, walipogundua palikuwa na tatizo, wote wakaingia ndani, wakafunga milango na kuanza kuwachungulia wafanyakazi wa Dawasa madirishani, walipoigagua mita wakabaini ilikuwa imegeuzwa hivyo ikawa inasoma kwa kurudi nyuma, yaani inafuta matumizi halisi ya maji,” alisema Balati.

MLINZI AKIMBIA

Aliongeza kuwa baada ya kuona wahusika wameitelekeza nyumba, waliamua kuondoa mita baada ya kukata maji kisha wakatoka ili kumkamata mlinzi waondoke naye lakini wakakuta naye amekimbia.

MENEJA AREA YA KINONDONI

Akizungumza na Ijumaa Wikienda kuhusu oparesheni hiyo, Meneje wa Area ya Kinondoni, Judith Singinika alisema walipofika walibaini kugeuzwa kwa mita ndipo waliamua kukata maji.

Singinika aliongeza kuwa mwaka 2013 mwishoni Wema alikuwa akidaiwa shilingi milioni 1.52,000 na baada ya kulipa alisema hahitaji tena maji atakuwa akinunua.

Aliongeza kuwa licha ya kufuatwa mara kadhaa na kushawishiwa awe analipa kidogokidogo alikataa.

ADHABU

Akizungumzia adhabu anayotakiwa kupewa alisema kama wangemkuta wangemfungulia kesi polisi kisha kumpeleka mahakamani kwa sababu alichokifanya ni sawa na uhalifu mwingine.

ADAIWA MAMILIONI

“Tangu alipoacha kulipia maji (tangu akiwa anaishi na Diamond), kwa sasa deni lake linafikia shilingi milioni 9,” alisema Singinika.

Kwa upande wake Balati alisema kitendo alichokifanya Wema hakikubaliki na Dawasa kwani akiwa staa anapaswa kuwa mfano bora katika jamii na kwamba ameitia hasara kubwa mamlaka yetu ambayo kila kukicha inatumia gharama kubwa kununua madawa lakini kuna watu kama akina Wema wanaihujumu Dawasa.
“Wema hana tofauti na wakwepa kodi wengine huko TRA wanaotumbuliwa majipu hivyo tutapambana na kila anayefanya hivyo kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli,” alisema mkurugenzi huyo.
WEMA YUPO MOMBASA

Alipotafutwa Wema ili kusikia upande wake hakupatikana kwenye simu na alipofuatwa nyumbani kwake hakuwepo kwa maelezo kwamba alikuwa amesafiri kwenda Mombasa, Kenya hivyo jitihada za kusikia upande wake zinaendelea.

NIGER;Olamide leads the nominations for tooXclusive Awards 2015

$
0
0
Nigeria’s leading online platform for music sharing and download, tooXclusive.com have officially unveiled the nominees to be featured in over 18 voting categories for the 2015 edition of her annual awards. By their prominence as the people’s preferred choice, which can also be evidenced from their award wins this year, tooXclusive is using this premise to reward artistes/music brands who have especially excelled to particular and impressive relish with their works in the year under review (September 2014 – October 2015)
 
This announcement heightens the tension for who will win what at this year’s online-based awards that has some of Africa’s best and internationally celebrated artistes including OlamideWizkidYemi Alade,PhynoDavido and Patoranking slugging it out for a variety of wins in their nominated categories.

This 4th season, Olamide displaces Davido who dominated two years in a row by leading with ten nominations. This very eventful year will also see new entrants YceeToby Grey and Choc Boi recruitsKoker and Dice Ailes competing for the Best New Artist among them. Also, songs by popular demand have been pitched against each other for highly coveted titles like Certified Banger of the Year, Best R&B, Best Afro Pop as well as Best Hip-HopTracks. Some of these songs will include Seyi Shay’Right Now,Reminisce’s Local Rappers, Olamide’s Shakiti Bobo and HarrySong’s Reggae Blues.

The awards shall be holding exclusively online. Voting will run for a two-week period via the website;www.tooxclusive.com after which eventual winners shall be presented accordingly, and award plaques delivered to them. You can visit the website to see the full nominees list.

Downton Abbey star Michelle Dockery 'devastated' after boyfriend dies aged just 34

$
0
0


John Dineen and Michelle Dockery pictured together in September 2013
Downton Abbey star Michelle Dockery is understood to be devastated after her boyfriend died at the age of just 34.
John Dineen passed away in Cork's Marymount Hospital on Sunday morning after an illness, reports the Irish Examiner.
Michelle, also 34, and John are believed to have started dating in 2013, after being introduced by co-star Allen Leech, who plays a former chauffeur in the ITV show. It's thought they got engaged in February this year.
Michelle rose to fame playing the lead female role of Lady Mary Crawley in the smash hit period drama Downton Abbey, which aired from 2010 until the final series was screened this year.
She has been nominated for three consecutive Emmy Awards as well as a Golden Globe Award for her role.
Michelle Dockery and boyfriend John Dineen at Wimbledon
Michelle Dockery and boyfriend John Dineen at Wimbledon in 2014
The couple hit the headlines earlier this year when it was reported that Michelle was excitedly showing off a diamond ring to her co-stars during screen tests for Downton Abbey.
The private pair never commented publicly on their relationship status.
In an interview in late 2014, Michelle said: "I have a wonderful man in my life from Ireland.
"We were introduced by Allen Leech. That's all you need to know."

BALAA LA ALIKIBA;Mrembo huyu amchokonoa Jokate kwa Kiba

$
0
0
ALI KIBA543Ali Saleh Kiba akipozi na mrembo huyo.
Habari ikufikie kuwa staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewaka baada ya kutumiwa picha zinazomuonesha mwandani wake, Ali Saleh Kiba akiwa na mrembo aliyekuwa ‘akijibebisha’ kwa jamaa huyo akidai kwamba huko ni kumchokonoa ili watu waone atasema nini.
Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa Jokate zilidai kwamba, alipoziona picha hizo za kimahaba za Kiba na mrembo huyo alipata mshtuko kiasi cha kutaka maelezo kutoka kwa staa huyo wa Ngoma ya Mwana.
jokate12staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Hata hivyo, ilidaiwa kwamba katika utetezi wake, Kiba alimwambia Jokate kuwa mrembo huyo ataonekana kwenye video yake mpya aliyokuwa akishuti nje ya nje.
“Unajua Jokate ni mwelewa ‘so’ alipoambiwa hivyo alitulia lakini kabla ya utetezi huo hali ilikuwa mbaya maana alijua anaibiwa mali zake,” kilieleza chanzo hicho.
Baada ya kunyetishiwa habari hizo, gazeti hili lilimtafuta Jokate ili kusikia upande wake ambapo alikiri kuziona picha hizo huku akishangaa ishu hiyo imelifikiaje gazeti hili.
“Ndiyo nimeziona kwani ninyi mmeipata wapi hiyo ishu? Any way mimi na Kiba tupo freshi,” alisema Jokate kwa kifupi.

MAPENZI;Here Are The Four Types Of Girls That Open Their Legs For Anyone

$
0
0
There are lots of loose girls running around Nairobi like kids in a playground. Girls who spread their legs for just about for any man whose manhood is functioning. In a way they all tend to think that us men are too blinded by lust and thickheaded to figure out which of them are cock-gobbling cum guzzling wh*res. In urban slang, such girls are referred to as ‘thots’. The word ‘THOT’ stands for ‘That Ho Out there’. There’s no denying the fact that female infidelity is catching up with male infidelity
There are different types of thots in Nairobi, all with varying degrees of sluttiness. Here are the four most common ones
The unrepentant ‘thot'
She will sleep with you so long as she feels you are a cool guy. If you date her, she will leave you the moment you start complaining. Despite her crooked ways, she doesn’t believe she is doing anything wrong. Photos of her in compromising positions are plastered all over her mates’ phone galleries. She parties and does drugs without slowing down. She isn’t afraid of STDs and pregnancies. She also knows all abortion clinics and she’s the one who refers her paged friends.
The ‘kiatu’ thot
Men rarely approach her because she ain’t that hot but since she’s human and has feelings too, she makes up for this by offering herself up to men instead. She drinks a lot and gets chips fungwad evevry time she goes out. She is also great in bed because that’s another way to make up for her lack of looks, She is deeply insecure and gets jealous when guys hit on her hotter friends. Sometimes she even tries to ruin their relationships If you date her, you will have fights every day.
beeew
The ‘average’ thot
Her looks are average but she carries herself around as if she was just named by ‘The People magazine’ as the most beautiful woman on earth. She has standards and thinks men should chase her and neg her despite the fact that she has nothing to offer. She has been ’pumped and dumped’ more times than she can remember. No man stays with her for long. The best way to win her over is to pretend you don’t want her. She’ll do everything to show you that she’s hot
The extremely hot thot
She has the looks but she comes with a bag of problems. She doesn’t eat enough so as to maintain her weight. So sometimes she looks malnourished and can even collapse while giving a B.J. She always looks in the mirror and sees flaws where there is none. She is also dumb and gets lisled by men as well as her close friends.

KENYAN UPDATE;Check Out Photos of Victoria Kimani that will definitely leave you salivating

$
0
0

Many know Victoria Kimani as Chocolate City East-African music diva behind chart-topping singles like ‘Show’, ‘Two Of Dem’, ‘Oya’ featuring M.I and my personal favorite; ‘Prokoto’ featuring Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz.
Victoria Kimani is currently riding on her spanking-new single; 'Booty Bounce', produced by super-talented beat maker, Reinhard.
VICT_BOOTY_BOUNCE.JPG
But her music is not the only thing going on for the game changer; she knows how to look like a super-star .Her hair, her clothes and even her face, Victoria Kimani has got it all. Check out photos of the beautiful East African star that will definitely leave you salivating.

Check out fashion photos of wema sepetu and her family

$
0
0
Sepetu's family

Nuru sepetu!! wema sister
Wema sister - Tunnu sepetu
wema mother mrs sepetu and her sister!!

CHADEMA yalaani kukamatwa Mbunge wa Ubungo Kubenea kwa amri ya Mkuu wa Wilaya Paul Makonda

$
0
0


CHADEMA yalaani kukamatwa Mbunge wa Ubungo Kubenea kwa amri ya Mkuu wa Wilaya Paul Makonda, wasema watamchukulia hatua za kisheria. Wadai hatua aliyochukua Mkuu wa Wilaya ni matumizi mabaya ya dhamana ya uongozi Pia Walitaka Jeshi la polisi liwarudishie waandishi wa habari vifaa vyao vya kazi vikiwa katika hali salama na bila athari yoyote ama vifaa vyenyewe au materials yaliyoko ndani yake.

DIAMOND THE PLATNUMZ TO RELEASE A NEE SONG FEATURING MAFIKIZOLO

$
0
0



Diamond the platnumz the bongo fleva artist of Tanzania, have spotted today through his account of instagram, by showing the photo of himself salam sk his manager together with mafikizolo, this indicates that, the time have come for him to release his new hit in which he was talking about last in the past last 3 months, keep tune and stay with makubwa haya blog swahil or english blog content.
Viewing all 6599 articles
Browse latest View live