Wabunge waridhia msimamo wa Serikali wa kutokusaini mkataba wa EPA
Wabunge wameridhia rasmi msimamo wa serikali wa kutokusaini mkataba wa ubia wa uchumi ' EPA' baina ya nchi za jumuia ya Afrika Mashariki na umoja wa ulaya. ==>Sikia michango ya baadhi ya wabunge...
View ArticleEtihad yazindua safari za Johnnesburg kwa kutumia ndege ya kisasa aina ya...
Shirika la Ndege la Etihad kupitia ndege yake ya Boeing 787 Dreamliner limeanzisha safari zake mpya katika Jiji la Johnnesburg kuanzia tarehe 01 Novemba 2016 mchana kwa uzinduzi wa ndege hiyo kutoka...
View ArticleAlikiba Ameshinda MTV Ema Kwa Kura Lakini ni Ukweli Hakustahili zaidi ya Wizkid!
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata.Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda...
View ArticleFilamu ya Wema na Van Vicker ‘Day After Death’ kuzinduliwa Valentine’s Day
Baada ya kiu ya muda mrefu kwa mashabiki wa filamu wa Wema Sepetu hatimaye mwigizaji huyo amesema filamu yake na mwigizaji wa Nigeria, Van Vicker ‘Day After Death’ itazinduliwa Valentine’s Day.Malkia...
View ArticleCristiano Ronaldo ashinda tuzo ya Alfredo di Stefano
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Alfredo di Stefano ya mchezaji bora wa La Liga msimu uliopita iliyotolewa na gazeti la Marca jana muda mfupi baada ya kusaini...
View ArticleMwimbaji Jux Awachana MTV Kwa Kutaka Kumnyima Ali Kiba Tuzo
Jux amewachana MTV kwa blunder waliyoifanya kwenye tuzo za EMA mwaka huu. Ni baada ya hapo awali kumtangaza Wizkid mshindi ilhali aliyepata kura nyingi alikuwa Alikiba – ambaye Jumatano hii wamempa...
View ArticleDiamond Kuhusu Kumsaliti Zari Asema 'Simba Hawezi Kupita Kundi la Swala Bila...
Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyoteNa pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala na...
View ArticleDIAMOND Afunguka Kuhusu Familia Ilivyombadilisha, Kumsaliti Zari, Nyumba ya...
Nilipokuwa Lagos, Nigeria, siku mbili kabla ya kufanyika kwa tuzo za Afrima, nilikaa kitako na Diamond Platnumz kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu muziki na maisha yake binafsi. Haya ni sehemu ya...
View ArticleNuh Mziwanda afunga ndoa na mrembo huyu
Mkali wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya mastaa wa bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Nawal.Muimbaji huyo ambaye...
View ArticleSasa unaweza kupima HIV kwa kifimbo hiki cha USB
Una wasiwasi kuwa mchepuko uliolala nao jana unaweza ukawa hauko salama na unataka kupima ngoma? Hutohitaji kwenda hospitali kujua afya yako, kifimbo hiki cha USB kinaweza kukupa majibu iwapo umeukwaa...
View ArticleMajina ya vipengele vingine viwili ya EATV Awards yatajwa, nao ni
Majina mengine ya wasanii kutoka kwenye vipengele viwili kati ya 10 watakaowania tuzo za EATV Awards zinazotarajiwa kufanyika Disemba 10 ya mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City yametangazwa Alhamisi...
View ArticleRais Magufuli Alipomtembelea na Kumjulia Hali Mke wake na Wagonjwa wengine...
Mke wa Rais wa Tanzania John Magufuli, Janeth, amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili. Jana Ikulu imetoa picha ya Rais Magufuli akimjulia hali katika wodi ya Sewa Haji.Taarifa ya ikulu...
View ArticleBARACK OBAMA NA FAMILIA YAKE KUHAMIA KWENYE MJENGO HUU
Baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika kura za Uraisi nchini Marekani, hebu pata nafasi ya kutazama mjengo ambao atakwenda kuishi Barack Obama akishatoka White House.Mjengo huo ambao...
View ArticleShilole Ampongeza Nuh Mziwanda baada ya Kufunga ndoa Kimya Kimya
Shilole amempongeza Nuh Mziwanda kwa kuongeza idadi ya wasanii walioukimbia ukapera baada ya kufunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake Nawal.Kupitia mtandao wa Instagram, Shilole ameandika ujumbe...
View ArticleTatizo la Fangasi Sehemu za Siri
Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu kama Candida albicans. Maambukizi haya pia hujulikana kama yeast infection au thrush....
View ArticleMange Kimambi na Ndoto yake ya Kugombea Ubunge 2020..Afunguka Haya Pamoja na...
Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020Soma Alichoandika...
View ArticleWizkid Amtolea Uvivu Shabiki wa Tanzania Aliemtukana Instagram
Baada ya Mtv ema kumpatia Alikiba tuzo ya african act kutoka kwa Wizkid ,mashabiki wa Tanzania hasa wa Alikiba wamevamia ukurasa wa Instagram wa star huyo wa Nigeria na kumtukana.Leo Wizkid ameshindwa...
View ArticleAmber Lulu: Sijiachii Utupu Ili Nitamaniwe
MWANAMITINDO ambaye pia ni muuza nyago kwenye video za Kibongo, Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ ameweka wazi juu ya picha anazoposti kwenye mitandao ya kijamii zinazomuonesha akiwa nusu utupu kuwa haweki...
View ArticleAlikiba akerwa na Watanzania wanaomtusi Wizkid
Alikiba ameelezea kusikitishwa kwake na Watanzania wanaomtukana staa wa Nigeria, Wizkid kwenye akaunti yake ya Instagram. Kiba amesema anaamini wale wanaomtukana si mashabiki wake kwakuwa mashabiki...
View ArticleNilifanya Collabo na AliKiba Nipate Ugali-Ommy Dimpoz Afunguka
Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa amerudi kwenye game na kolabo ya wimbo wa 'Kajiandae' aliyofanya na Alikiba tena, ametoa sababu ya kuamua kufanya tena kollabo na msanii huyo.Akizungumza kwenye FNL...
View ArticleRapper wa Kike Chemical Adai yeye Bado ni Bikra Hajawahi Guswa na Mwanaume
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu...
View ArticleMashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki – Ommy...
Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki.Ommy Dimpoz amesema watanzania wamekuwa na mtazamo tofauti sana hasa pale...
View Article