Quantcast
Channel: Makubwa Haya website entertinment celebrity News of Tanzania
Viewing all 6599 articles
Browse latest View live

BARAKAH DA PRINCE ATAJWA NA MTV BASE MIONGONI MWA WASANII 32 WA KUWAANGALIA

$
0
0

MWAKA 2016 Africa’s biggest music TV channel MTV Base presents a first for the channel; with the year coming to an end its music programming team have put together a list of the ‘Top African Acts To Watch Out For In 2016’, featuring the breakthrough new hit makers of 2015 on the continent. This list follows the recent release of the channels much talked about ‘SA’s Hottest MCs’ and ‘Naija’s Hottest Artists’ 2015 Top 10 lists, but in contrast will feature acts from across the continent and is without any ranking. The criteria for Top African Acts To Watch Out For in 2016 is based on: how much noise the artist has made in their region, how much airplay (TV and radio) the artist has been shown recently and how massive their single(s) became that were released this year. The singles which helped these artist gain the recognition they received throughout the year have been added onto a playlist featured on MTV Base’s Apple Music page. Top African Acts To Watch Out For in 2016 (in alphabetical order): 
1. Adekunle Gold – Orente
 2. Aewon Wolf – Summer Fever 
3. Anna Joyce – Ele E Melhor Que Tu 
4. @barakah_daprince – Siachani Nawe
 5. Dbn Nyts – Shumaya 
6. DJ Mshega – Get Down 
7. Di'Ja – Falling For You 
8. Dosseh – Bando
 9. Emtee ft. Wizkid & AKA – Roll Up (Remix) 
10. Fifi Cooper – Puntsununu 
11. Francko – Coller La Petite 
12. Gigi LaMayne ft. Khuli Chana – Ice Cream (Remix) 
13. Junior Taurus & Lady Zamar – Mamelodi 
14. Kiss Daniel – Laye 
15. Koker – Do Something 
16. Korede Bellow – Godwin 
17. Mr Bow – Number One 
18. Mz Vee – Dancehall Queen 
19. Nasty C ft. Davido & Cassper Nyovest – Juice Back (Remix) 
20. Niniola – Ibadi 
21. Prince Kaybee – Wajellwa
 22. Prodigio – Playa 
23. Rabs Vhafuwi & Mizz – Count Your Blessings
 24. Reekado Banks – Chop Am 
25. Shekinah & Kyle Deutsch – Back To The Beach
 26. Simi – Jamb Question 
27. Tekno – Duro 
28. Timo ODV – F ind My Way 
29. Tomi Thomas – Ready Or Not
 30. Trademark & Zinhle – Mashonisa 31. WTF – Wangnika 32. YC – Jagaban

ANGALIA PICHA KALI ZA LEO ZA JOKATE KIDOTI

UDAKU GOSSIP;AGNESS MASOGANGE ANA MIMBA YA DAVIDO

$
0
0


Kama ni ‘kiki’ basi imefanikiwa, kwa sababu hadi mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa kuna uwezekano Agnes Masogange akawa na ujauzito wa staa wa Naija, Davido. Agnes na Davido wameonekana kuwa karibu siku za hivi karibuni, baada ya kuwa wanapost picha tofauti tofauti wakiwa wanakula bata pamoja kama couple. Mtandao wa Pulse wa Nigeria umeandika kuwa kuna uwezekano malkia huyo wa ‘shepu’ Bongo, Agnes akawa na ujauzito wa Davido baada ya kupost picha ya kipimo cha mimba kinachoonesha ‘positive’. Hivi ndivyo wameandika: “Hmm…it seems Davido might be a father again. In November the HKN act spent a reasonable amount of time with a popular Tanzanian hottie called Agnes Masogange. In a series of videos shared by Agnes Masogange on Instagram a month ago, Davido and his entourage talked in Yoruba about having sex with Agnes Masogange and her friends. It seems something did go on that night based off Agnes Masogange’s latest Instagram posts. In one of the Instagram posts she shared a picture of her holding Davido’s HKN chain with the caption “I miss him.” She then shared another picture of a pregnancy test which read positive. Obviously the two posts attracted a lot of comments and speculation. Shortly after, she deleted the two posts. Is she playing games or saying the truth? Time will tell.

AFTER XUL BASH PHOTOS DESEMBA 12

$
0
0




Iambenpol akiwapeleka raia #AfterSkulBash Dodoma kwa sauti yake amazing huku shangwe kibao zikihusika.






XXL After Bash ndio kwanza balaa limeanza, @escape1mikocheni ni burudani after burudani. Kwa hisani ya @cokestudioafrica tunasherehekea kurudi likizo majumbani baada ya kitabu mwaka mzima


Man and his fiancee release creative pre-wedding shoot

$
0
0
Michael Soyebo and his bride-to-be had released their pre-wedding photo shoot on instagram and one of them shows them inside a toilet. Lol. Now, that's something I've never seen before. Congrats to them. Pics by Akintayo Tomi. More photos of the couple after the cut...



MASTAA NIGERIA;Yemi Alade atambulisha Mobile Application ya muziki wake

$
0
0
Yemi-Alade
Yemi Alade awa msanii wa kwanza Nigeria kuwa na Mobile Application ya muziki wake.
Yemi Alade amekuwa msanii wa kwanza Nigeria kumiliki Application ya simu za mkononi. App hii imetambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Yemi Alade wiki chache kabla hajatoa album yake ya ‘Mama Africa’.
Application hii inaitwa Yemi Alade na unaweza kuipata kama unatumia simu zinazotumia mfumo wa Andriod kwa kuingia Google Play Store na kudownload bure. App pia ina picha, muziki, video, mashairi, video za show zake, kurasa zake za mitandao ya kijamii na nyimbo zake zikiwa kwenye mfumo wa Acoustic.
unnamed-5-169x300 unnamed-6-169x300

angalia video Naibu Waziri wa Afya na shtukiza ya hospital ya Amana Ilala Dkt. Hamis Kigwangala

$
0
0


Moto huo huoooo mpaka tunyoooooke,mida ya kazi tunaenda kugonga supu,Naibu Waziri wa Afya na shtukiza ya hospital ya Amana Ilala

Waziri wa AFYA na Naibu wake wafanya ziara ya kushtukiza katika Hospital za MWANANYAMALA na AMANA

$
0
0




IMG_8379
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akiwasili katika Hospitali ya rufaa ya Amana iliyopo Ilala, Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushtukiza baada ya sherehe za kuapishwa.

IMG_8386
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akikagua vyumba vya madaktari baada ya kuona mlundikano wa wagonjwa wakisubiri huduma.

IMG_8392
Mh. Naibu Waziri, Dkt. Hamis Kigwangala akiingia katika chumba cha X-Ray kuangalia utendaji wa kazi unavyoendelea.

IMG_8395
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza na mtoa huduma katika chumba cha X-Ray ambapo aliridhishwa na utoaji huduma wa mtumishi huyo.

IMG_8404
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza na baadhi ya wananchi kuhusu upatikanaji wa huduma wanazopata hospitalini hapo ambao wengi wao hawajaridhishwa na utendaji wa wahudumu wa zamu wa siku hiyo.

IMG_8408
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza na mmoja wa Daktari (ambaye hakutaka sura yake iyonekane) kuhusu utaratibu wa utoaji huduma kwa wagonjwa wanaosubiri huduma hizo.

IMG_8425
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akimuulizia Kiongozi wa zamu katika ofisi za mapokezi ya hospitali hiyo.

IMG_8433
Muuguzi Kiongozi wa Hospitali ya rufaa ya Amana, Bupe Mwakalenge akijibu maswali ya Mheshimiwa Naibu Waziri kuhusu kutokuwepo kwa baadhi ya Madaktari katika baadhi ya vitengo.

IMG_8475
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akitazama moja ya cheti cha mgonjwa aliyekuwa akilalamika kusubiri kwa muda mrefu bila kupatiwa huduma.

IMG_8498
Mwanasayansi wa Maabara ya Hospitali ya rufaa ya Amana, Jabir Mukhsin (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri Dkt. Hamis Kigwangala kuhusu ubovu wa mashine inayotumika kufanya vipimo mbalimbali (MS4S) ikiwemo mzunguko wa damu mwilini ambayo kwa sasa imeharibika na kubakiwa na mashine moja ambayo ufanyaji wake wa kazi unachukua muda mrefu kutoa majibu sahihi.

IMG_8517
MS4S Mashine ambayo imeharibika.

IMG_8525
Mmoja wa wagonjwa waliokuwepo wakisubiri huduma ya kipimo cha MS4S akimwelezea Mh. Naibu Waziri kuhusu kutokufanyika kwa kipimo hicho licha ya kuwa hospitali wamepokea malipo yake ya kufanyiwa kipimo hicho.

IMG_8542
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akionekana kushangwazwa na jambo fulani wakati akiendelea na ziara yake hospitalini hapo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Gideon Malabeja.

IMG_8550
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akiwa nje ya chumba cha Ultra-sound ambacho kimefungwa kufuli licha ya maelezo ya Muuguzi Kiongozi wa Hospitali hiyo Bi. Mwakalenge kuwa mashine hiyo ni nzima na haina tatizo lolote.

IMG_8590
Muuguzi Kiongozi wa wagonjwa wa nje, Francis Itima akimwelezea Mheshimiwa kuhusu changamoto ya upungufu wa vitanda katika wodi ya wakina mama waliojifungua.

IMG_8599
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akikagua wodi ya watoto ambayo aliridhishwa na hali iliyopo katika wodi hiyo.

IMG_8611
Mfamasia wa zamu katika hospitali ya Amana, Anna Kajiru akimpa maelezo Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala kuhusu upungufu wa dawa uliopo katika duka hilo la dawa hospitalini hapo.

IMG_8614
Baadhi ya wananchi wakipatiwa huduma ya dawa katika duka la dawa lililopo hospitalini hapo.

IMG_8667
Pichani juu na chini ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akitoa mrejesho kwa waandishi wa habari kuhusu ziara yake ya kushtukiza, matatizo yanayoikabili hospitali hiyo na hatua ambayo wizara itachukua.

IMG_8691

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala ikiwa ni masaa machache tangu kutoka kuapishwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Wizara hiyo.

Mhe. Ummy aliwasili katika hospitali ya Mwananyamala, majira ya saa 8 mchana na kuanza kuzungumza na wananchi mbalimbali waliokuwa wamekaa eneo la hospitali hiyo kuhusu matatizo yanayowakabili pindi wanapofika hospitali hapo kupatiwa huduma ambao wengi wao walionekana kutoridhishwa na huduma wanazopatiwa wanazozihitaji.

Mmoja wa wananchi ambao alielezea kwa masikitiko yaliyomkuta pindi alipofika hospitalini hapo ni, Bi. Khadija Meso ambaye alisema kuwa walikuwa na siku tatu tangu wamefika hospitalini hapo ambapo walikuwa wamempeleka mtoto wao ambae alikuwa anaumwa lakini alikuwa hapatiwi huduma hali imeyopelekea kupoteza maisha kwa mtoto huyo.

Mwingine aliyezungumza aliyejitambulisha kwa jina la Mama Madohoro alisema kuwa anashangazwa na hospitali ya rufaa kuwatoza wazee pesa licha ya sera ya afya kusema wazee na watoto chini ya miaka 5 kupatiwa bure huduma za kiafya.

Alisema kuwa alimpeleka hospitalini hapo ndugu yake mwenye umri wa miaka 90 ambae alikuwa akihitajika kulipia vipimo vilivyo na gharama kubwa huku vya gharama ndogo akipatiwa bure na kutokana na uwezo mdogo wa kifedha alionao ukapelekea kupoteza maisha yake kwa mgonjwa huyo.

Nae Othaman Rwambo alimuomba Mhe. Waziri kuwa ajaribu kuzungumza na wauguzi wa hospitali hiyo kutokana na kutoa majibu machafu kwa wagonjwa wanaofika katika hospitali hiyo kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Alisema kuwa kasi ya rais wa awamu ya tano ni kufanya kazi na wao kama watumishi wa umma wanapaswa kufanya kazi kwa bidii ili kuwahudumia watanzania na kuwataka watumishi hao kuweka uzalendo mbele kuliko maslahi binafsi.

Akiwajibu wananchi hao pamoja na kuelezea sababu ya ziara yake, Mhe. Ummy Mwalimu alisema kuwa amefika hospitalini hapo ili kujua changamoto zinazowakabili wananchi lakini pia kujifunza ni kitu gani ambacho wananchi wanahitaji kuboreshewa katika sekta ya afya.
Alisema kuwa matatizo aliyoyakuta ni changamoto kwake na wizara yake na watakaa kama wizara kuona ni jinsi gani wanaweza kutatua matatizo yanayojitokeza katika hospitali hiyo na kuutaka uongozi wa hospitali hiyo kumaliza matatizo yaliyo ndani ya uwezo wao ndani ya siku 3.

“Mambo ambayo nimeyakuta hapa ni kujifunza na kuona ni hali gani wanakumbana nayo wananchi wanapokuja kupata huduma za kiafya lakini pia kwangu ni changamoto lakini kwa kasi aliyonayo rais wetu wa awamu ya tano hatuna budi na sisi kuwa na kasi hiyo na mimi napenda kuwaambia wananchi wanaopata huduma katika hospitali hii tutatatua matatizo yanayowakabili,

“Nimeupa uongozi wa hospitali kazi ya kumaliza matatizo yaliyopo wanayoweza kuyamaliza kama neti kwenye wodi kama ile ya wajawazito, na hata mambo ya feni kwenye wodi za wanaume na mengine tutakaa kama wizara kuyajadili tuone jinsi gani tutayamaliza,” alisema Mhe. Ummy.

Aidha Mhe. Waziri alisema siku ya Jumatano wanatarajia kutambulisha namba ambayo wananchi watakuwa wanaitumia kutoa taarifa wizarani kuhusu kero wanazokutana nazo hospitalini wanapokwenda kupata huduma za matibabu.

Nae Naibu Waziri wa Wizara hiyo ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya rufaa ya Amana na kukuta baadhi ya huduma za afya katika hospitali hiyo zikiwa zimesimama kwa sababu mbalimbali.

Baadhi ya matatizo ambayo amekutana nayo hospitalini hapo ni pamoja na kutokuwepo kwa mtoa huduma katika chumba cha Utra Sound, Ubovu wa mashine ya kuchunguza matatizo yaliyopo mwilini (MS4S) na kubakia moja ikifanya kazi ambayo inachukua muda mrefu kutoa majibu.

Matatizo mengine ambayo amekutana nayo ni uchache wa vitanda, kutokupatikana kwa dawa katika duka la hospitali huku maduka ya nje ya hospitali zikipatikana na kutokuwepo kwa baadhi ya watumishi ofisini kukiwa ni muda wa kazi.

Akizungumzia matatizo hayo alisema kuwa kuna uzembe umekuwa ukifanyika kwa baadhi ya watumishi hali inayofanya hospitali hiyo kuwa na wagonjwa wengi bila kupatiwa huduma na badala yake wanawapa rufaa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

“Tunachotaka ni kuona wananchi wanapata huduma, nimefika hapa nakuta hata chumba cha Utra Sound anaehusika hayupo na hata wagonjwa wakija hawatapata huduma na kinachofata hapo wanampeleka Muhimbili ndiyo maana Muhimbili imejaa wagonjwa kumbe sababu ni uzembe uliopo huku kwenye hospitali za rufaa,” alisema Dkt. Kingwangala.

Aidha Mhe. Naibu Waziri ameuagiza uongozi wa hospitali hiyo kufika wizarani siku ya jumatatu saa 10 jioni ili kupewa maelekezo jinsi ya kufanya kazi ya kuwahudumia wananchi na kwenda sawa na kasi ya rais Dkt. John Pombe Magufuli ambaye anahitaji kuona serikali yake ikifanya kazi kwa kuhudumia wananchi.


Habari : Rabi Hume, Modewjiblog

Picha :  JF , Zainul Mzige wa Modewjiblog 

Hawa Hawakufahamu Utoroshwaji Wa Makontena Bandarini?

$
0
0

Miongoni mwa mambo yanayotikisa duru za vyombo vya habari nchini Tanzania na nje ya nchi ni kuhusu ukwepaji wa kodi kupitia utoroshwaji wa makonte kutoka bandari ya Dar es Salaam.
 
 Hadi sasa inakadiriwa kuwa zaidi ya makontena 2,500 yalitolewa pasipo kulipiwa kodi stahiki kutoka bandari ya Dar es Salaam kati ya mwaka 2013 hadi 2015.

Bandari ni shirika la Umma ambalo kwa muundo wa Serikali liko chini ya Waziri wa Uchukuzi na kwa taratibu za Bunge linasimamiwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ambayo kwa muda huo imekuwa inaongozwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe.

Hata hivyo pamoja na hoja binafsi nyingi zilizokuwa zinawasilishwa kwenye meza ya Katibu wa Bunge kuombewa kibali cha kuwasilishwa Bungeni, hakuna kumbukumbu zinazohusu kuombwa kwa hoja binafsi iliyohusu  suala hili ambalo ni dhahiri limekuwa linaipotezea Serikali mabilioni ya fedha.

Alipokuwa akihudumu katika serikali ya awamu ya nne kama Waziri wa Uchukuzi, Mheshimiwa Dk. Mwakyembe alijitutumua kukamata makontena yasiyozidi kumi. 
 
Hata hivyo kasi yake ikapungua taratibu na kisha akawa kimya! Aidha, aliyembadili katika nafasi hiyo, Samwel Sitta aliingia kwa nguvu sana lakini hakuweza kugusia eneo hilo kama inavyofanyika sasa.

Haijachukua zaidi ya mwezi mmoja tangu Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani kupata na kuanza kuzifania kazi taarifa kuhusu uozo uliokuwepo katika bandari ya Dar es Salaam. Hili linaacha maswali mengi yanayohitaji majibu.

1.Je, ilikuwaje watoa taarifa hizi walishindwa kuzifikisha taarifa hizi kwa wasimamizi wa bandari na mashirika ya umma wa wakati huo wakiwemo mawaziri Dk. Harrison Mwakyembe, Samwel Sitta na Kabwe Zitto (Mwenyekiti wa PAC)? 

2.Je, inawezekana kuwa walikuwa na taarifa lakini nao walinyamazishwa? 

3.Je, kama walinyamazishwa ilikuwa kwa maslahi ya nani?

4.Je, ni mfumo gani ufuatwe ili PAC iweze kuwawakilisha wananchi pasipo shaka katika kuisimamia Serikali? 
 
5.Je, si wakati muafaka kwa waheshimiwa hawa na wale wanaoendelea kuwemo katika Bunge la awamu hii ya uongozi, kujitokeza kueleza wanachokifahamu kuhusu sakata hili na kilichowanyamazisha ili waweze kuaminika tena?

Wafanyabiashara 15 Waliokaidi Agizo la Rais Kukiona Cha Moto

$
0
0

MAKAMPUNI 15 yaliyokwepa kodi baada ya kutorosha makontena yao, yamejisalimisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), lakini yameshindwa kulipa kodi ndani ya siku saba za msamaha wa Rais John Magufuli.

Kodi inayodaiwa kwa kampuni hizo ni Sh bilioni 3.75, hivyo watachukuliwa hatua za kisheria kwa kukwepa kulipa kodi, ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani.

Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA, Dk Philip Mpango alisema hayo jana wakati akielezea makusanyo ya kodi ya makontena yaliyoondolewa katika bandari kavu ya Azam, kinyume cha sheria pamoja na kumalizika kwa siku saba alizotoa Rais Magufuli kwa wafanyabiashara hao kulipa kodi waliyokwepa, bila kuchukuliwa hatua nyingine za kisheria.

Dk Mpango alisema siku hizo saba zimefikia kikomo juzi, hivyo hatua kali za kisheria kwa wafanyabiashara ambao hawakulipa kodi katika kipindi hicho zinafuata hivyo wasubiri cha moto.

“Tumewasihi waje kulipa kwani huruma ya Rais sasa imeisha... tulifanya uhakiki na kuthibitisha kuwa kampuni hizo zipo. Wamekuja kulalamika lakini hakika hakuna atakayesamehewa kulipa na sasa tunafuata mkondo wa sheria ili kuwafikisha mahakamani,” alisisitiza.

Wadaiwa 
Alitaja kampuni hizo kuwa ni Ahmed Saleh Tawred anayedaiwa Sh milioni 59.23; Cla Tokyo Limited Sh milioni 77.52; Farida Abdullah Salem Sh milioni 75.33 na Juma Kassem Abdul Sh milioni 190.18.

Wengine ni Libas Fashion Sh milioni 52.94; Rushy Wheel Tyre Center Co Ltd, Sh bilioni 1.8; Said Ahmad Hamdan Sh milioni 68.36; Said Ahmed Said Sh milioni 68.73 na Salum Continental Co Ltd Sh milioni 151.17.
 
 Pia yumo Salum Link Tyres Sh milioni 343.44; Simbo Yonah Kimaro, Sh milioni 69.22; Snow Leopard Building Material Co Ltd Sh milioni 93.97; Swaleh Mohamed Swaleh Sh milioni 34.68; Tybat Trading Co Limited, Sh milioni 598.69 na Nasir Saleh Mazrui Sh milioni 70.10.

Alisema mpaka kufikia jana TRA walikuwa wamekusanya Sh bilioni 10,643.004,948.46 kutoka kwa kampuni 28 ambapo kampuni 13 zimelipa kodi yote iliyokadiriwa, ambayo ni Sh 4,167,130,173.89 na Sh 2,303,637,554.57 kutoka kampuni 15 zilizolipa sehemu ya kodi iliyokadiriwa.

Dk Mpango alisema Sh bilioni 4.17 zimelipwa na kampuni ya Azam ICD, ikiwa ni dhamana ya kodi iliyokwepwa, hivyo atatakiwa kumaliza kulipa kodi yote inayodaiwa kwa mujibu wa nafasi yake kama mwenye dhamana.

Alisema wakati utekelezaji huo ukiendelea, ili kurahisisha ukusanyaji wa kodi hiyo ya makontena yaliyoondolewa bandarini kinyume cha sheria na taratibu za forodha, TRA imefungua akaunti maalumu katika Benki Kuu yenye namba 9921169785 inayoitwa Commissioner for Customs and Excise – Container Account.

Kwa mujibu wa Dk Mpango, mpaka sasa watumishi 36 wa TRA wanaotuhumiwa kushiriki katika upotevu wa kodi kutokana na makontena hayo kuondoshwa bandarini.

Watumishi wachongewa 
Aidha, alisema TRA imepata taarifa zisizopungua 15 kutoka kwa wananchi kuhusu mali za kifisadi na mwenendo mbaya wa baadhi ya watumishi na walipakodi wanaokwepa kodi. 
 
Aliwashukuru wananchi waliotoa taarifa na kuwaomba wengine wajitokeze kutoa taarifa zaidi na mamlaka hiyo inawahakikishia kuwa itawalinda.

Dk Mpango alisema wanaendelea kutekeleza maagizo ya Rais katika ukusanyaji wa mapato, ikiwa ni pamoja na kupiga picha makontena yote badala ya sampuli ya kontena ilivyo sasa na wanafanya utaratibu wa kupata mashine za kupiga picha za nyongeza.

Meet Miss World Kenya, Charity Mwangi’s Gorgeous Beau (Photos)

$
0
0
Charity Mwangi, an Agricultural Resource Management student at Kenyatta University is the current holder of title, Miss World Kenya.
screenshot_2015-12-12-11-19-05-1.png
The beauty from Kiambu County was crowned the winner of the coveted crown from a pool of 10 contestants who were all taking a second stab at the national title.
screenshot_2015-12-12-11-21-37-1.png
screenshot_2015-12-12-11-14-02-1.png
The lass who seems to have garnered her fair share of a handful of thirsting fans due to her bewitching looks, has ensured to keep away from the limelight bits of her private life. Well we can’t say absolutely since the lass also takes to social media to boldly flaunt her gorgeous boyfriend, Kenson Njagi.
Here are photos of the beauty’s handsome boyfriend;
screenshot_2015-12-12-11-10-29-1.png
screenshot_2015-12-12-11-10-26-1.png

TANZANIA MISSES THE CHANCE IN TOP 30 OF MISS WORLD

$
0
0
Only 5 African countries have made it to the Top 30 list of Miss World,for the Top Model challenge. These are Cameroon, Cote d'Voire, Ethiopia, South Africa and South Sudan

Sadly,Tanzania made it to the Top 50 and that was it...

We still have other chances to raise the flag high, let's use the social media chance to vote our Miss Tanzania into the Top list...

Music in AFRICA;HISTORY OF MUSICIAN OF TANZANIA DIAMOND THE PLATNUMZ

$
0
0
Nasibu Abdul Juma (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz (or simply Diamond), is a Bongo Flava recording artist and singer from Tanzania.

He officially started his music career in 2006 but things took a better turn for him in 2009 when he met Msafiri Peter aka Papaa Misifa who agreed to provide financial support in nurturing Diamond’s talent. Together they released Diamond's first single 'Nenda Kamwambie'. Diamond is best known for his hit song 'Number One' which earned him a nomination at the BET Awards. He performed at the Big Brother Africa 7 eviction show in May 2012. 

Diamond is considered influential among his fans, and is said to be the most loved and decorated Tanzanian artist at the moment. He was believed to be the highest selling Tanzanian artist of ringtones by mobile phone companies in 2013, as well as being among the artists earning the highest income in the African Great Lakes region's music industry. He released his first album, Kamwambie, in 2010. The top-selling Lala Salama followed two years later.

On 3 May 2014, Diamond Platnumz set a new record at the Tanzania Music Awards by winning 7 awards, including Best Male Writer, Best Male Artist, Best Song Writer and Best Male Entertainer of the Year. The previous record was set by 20%, a recording artist who walked away with 5 awards at the 2011 Tanzania Music Awards. Prior to 20%'s accomplishments, Diamond held the record for winning 3 awards at the 2010 Tanzania music awards.

Diamond is said to have won more than 15 awards at Tanzania Music Awards ceremonies held between 2010 and 2014. In 2015 the singer also emerged victor in the Worldwide Act: Africa/India category at the MTV Europe Music Awards that were held in Milan. He was a top winner at the All Africa Music Awards (AFRIMA) held in Nigeria in November 2015.

BIFU LA MANGE KIMAMBI NA DR MWAKA ;MANGE AMSHUKIA DR MWAKA BAADA YA KUTOKEZEA KWENYE VIDEO YA DIAMOND..

$
0
0

mangekimambi_ - Wapenzi Mnajua nini tuelewanae. Huyu Dr.Mwaka alikuwa mwalimu hajasomea udoctor popote pale zaidi ya Google Leo anakutibuje Wewe ugumba ???? Mnajua vitu vingine vinahitaji akili tu Jamani?Hata babu wa Loliondo kuna Watu waliapa kuwa walitibiwa Na babu wa Loliondo Ni kwamba tu ilikuwa Ni Muda wao wa kupona it had nothing to do Na babu wa Loliondo. . . Huyu Dr. Mwaka Sio Daktari wa kusomea anatoa wapi ujuzi wa kukutibu Wewe kizazi.??? Na pia serikali iko wapi? Huyu jamaa anawamanua wanawake Mpaka huko chini anawacheki Watu Mpaka wanaku na maumivu Ni Nani anampa mamlaka ya kuwacheki huko chini wakati Sio Daktari??? Hata madkari wanaongea sana Sasa Hivi wanasema Huyu jamaa a anajitangaza sana Mpaka wanawake Wanaacha kwenda hospital wanaenda huko kwake kuliwa pesa zao. Seriously Naomba kurudia tena Hivi mtu ambae Sio Daktsri Bigwa wa wanawake anakutibuje ugumba? Kwa ujuzi gani? Na mkitaka kujua Huyu jamaa Ni tapeli tu eti anatoa Na dawa za kufanya mwanamke awe mtamu , yes Huyu jamaa anatoa Mpaka dawa za utamu, Anyways point Ni kwamba usije sema hukujua nimeshaongea Na ntaendelea kuongea Kila wiki Mara moja ntakuwa naongelea swala la Doctor Mwaka... Tafadhali mtag rafiki yako, dada yako , Aunty yako kwenye Hii posti Na posti iliyopita Ili Na yeye ajue. Na Wewe pia waambie wanawake wenzio mnatapeliwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

HUDDAH MONROE;Too Much ‘Lungula’ Takes Its Toll on Huddah’s Petite Body

$
0
0
Before gaining continental fame in Big Brother Africa, self-styled solicited Huddah Monroe registered a dramatic weight-loss that had her looking painfully thin.
A look she attributed to a wild past that involved a heavy consumption of drugs.Apart from the weight loss, Huddah also apparently suffered from low blood pressure before she got clean.
Huddah has now witnessed some major weight loss, but don’t panic! She is not on drugs, she has just been busy chasing the paper and having a good time in bed!
huddH.jpg

“I miss my body like this ! Sema kukonda these past months? Been up and down like an Athlete, paper chasin and maybe too much SEX??” she captioned the photo above.

KENYAN UPDATE;Hot Kiambu Girl, Charity Mwangi Takes Over China Ahead Of Miss World Finals

$
0
0
The 65th edition of Miss World kicked off last month, November the 21st of 2015. Contestants started flocking in at Sanya, the Republic of China. The final curtain will be let down on the 19th of December, 2015 at the Beauty Crown Grand Theater, Sanya.
Our very own Miss Kenya will also be among the hundreds of contestants, and we need her to bring the crown home! Her name is Charity Mwangi, she has this welcoming beauty like the girl next door. Currently, she holds the title as Miss Kenya.
To be party of her journey to being crowned Miss World, you need the Miss World App. Your pocket companion to the competition, the app will feature exclusive video content, tonnes of pictures and the ONLY opportunity to vote in the Miss World People's Choice Award!
So start downloading, and get voting! The crown needs to come home this year around!!!
See photos of the girl below. 

Miss Kenya Charity Mwangi

NIGER;FORBES Names Davido As Most Influential African Artist Of 2015

$
0
0

Lots of nominations and awards have been won with most notable amongst them been; The BET award, Kora award, Channel O Music Video award, two MTV Africa Music awards, 5 Headies Awards and Ghana Music award among others. His relevance went up another notch as he made the list of Forbes most influenti

Nigerian star Davido has been named the Most Influential African Artist of the Year 2015 by FORBES. The artist who is the Owner of HKN music label, has other upcoming acts like Shina Rambo, B.Red and Deekay under his wings.

The young singer who is also a producer, has produced for artist like Tiwa Savage, Naeto C, Skales and Sauce Kid. He came into limelight in 2011 with his hit single ‘Dami Duro’ and since then, he has continued to thrill fans with wonderful jams. He released his first album ‘Omo Baba Olowo’ that contains many of his hit tracks like Gbon Gbon, Ekuro, and Feel Alright in 2012.

Lots of nominations and awards have been won with most notable amongst them been; The BET award, Kora award, Channel O Music Video award, two MTV Africa Music awards, 5 Headies Awards and Ghana Music award among others. His relevance went up another notch as he made the list of Forbes most influential artist for 2015.

However, this came hours before his closest competitor in the industry, Wizkid also got international recognition with his hit song, Ojuelegba been named the 12th best song of 2015 by FADER Magazine.

Congratulations to Davido!

KENYA;Shots Fire As Eric Omondi Calls Out Bahati For Being A Cry Baby

$
0
0
The past week the showbiz scene has been buzzing after singer Bahati released a video featuring Denno, a blind artist formerly famous after the hit song he did with Daddy Owen dubbed “mbona”
According to Bahati Daddy Owen had not paid Denno the agreed amount in terms of proceeds from the song. All which amounted to 1 million shillings. This was the reason that Denno was living from hand to mouth – Bahati reiterated.
Daddy Owen however made it clear that Denno had been paid what was rightfully his and that he was going to adress the issue with both Bahati and Denno.
“..If you get to the top by pulling your brother down, then yours will be a free fall. .” Furthered the statement, Eric who later pulled the post down seemed perturbed that Bahati was trying to make a name by thriving on the misfortunes of others.
“..Before doing all that, it would have been shrewd if you just called Daddy Owen aside and dealt with it that way..: We cannot run the ministry the same way Muhammad Ali runs jicho pevu…you cannot make your face shine by putting out your brothers candle, you cannot thrive by telling us just how bad other people are…”
Though the statement was pulled down it sheds light on the person that is Bahati, an artist who thrives on being a cry baby, feeding off the pity of others and making all his music to look like laments.
Methinks this was Bahati using Denno for his own selfish reasons and not necessarily an attempt to help the latter.eric_omondi

Cute photo of prince George learning to ride...a horse

$
0
0
Like any self-respecting royal, prince George is set to follow in the horse riding footsteps of his family. He has started taking lessons aged just two. His father, William got his first horse when he was four while his great grand mother, the Queen is an accomplished horsewoman.

HOT FASHION PHOTOS TANZANIAN ARTIST LINAH SANG BEST PHOTOS EVER

$
0
0

Photo's:: What is wrong with this photo's when Bongo flava Musician Linnah spotted in this way when she is in Kampala Uganda and makes many people talking? Must see photo's.

Viewing all 6599 articles
Browse latest View live