Quantcast
Channel: Makubwa Haya website entertinment celebrity News of Tanzania
Viewing all 6599 articles
Browse latest View live

Madaktari Marekani kufanya upasuaji wa kwanza wa kupandikiza uume

$
0
0


Madaktari Marekani kufanya upasuaji wa kwanza wa kupandikiza uume, hatua ya kwanza itakuwa kuutoa uume kutoka kwa mtu aliyefariki. Jopo la madaktari kutoka Hospitali ya chuo kikuu cha Hopkins (JHU) wanapanga kumfanyia upasuaji huyo mwanajeshi wa zamani mwenye umri wa miaka 60kama sehemu ya majaribio. Upasuaji huo wa saa 12 utahusisha ushonaji wa neva muhimu na mishipa ya damu kwa ajili ya kutunza mkojo na kumuwezesha mgonjwa kufanya tendo la ngono. Kwa mujibu wa jopo la madakatari katika JHU matumaini ya mwanajeshi huyo wa zamani ni kwamba hisia za uume wake zitarejea katika muda wa miezi 12. Uwezekano wa mgonjwa kupata watoto, utategemea kiwango cha jeraha na mafanikio ya upasuaji huo

Angalia na download wimbo mpya wa diamond the platnumz utanipenda

MAMBO 10 YA KUJIFUNZA KUTOKA WIMBO WA DIAMOND THE PLATNUMZ UTANIPENDA

$
0
0
MAMBO 10 YA KUJIFUNZA Angalia Video ya Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Alioutoa Siku ya Leo 1. Ni simulizi iliyobeba hofu ya watu wengi. Nisipokuwa na mali, nisipokuwa na kazi, nikipigika mtaendelea kunipenda, kunisifia, na kuwa karibu yangu kama sasa? 2. Imejitosheleza kimaishari. Mashairi yameshiba na ya kina tofauti na nyimbo nyingi za aina hiyo zenye mashairi ya kujirudia sana 3. Video na wimbo vimechukua uhalisia zaidi wa maisha yake kwa kuwatumia watu wake muhimu maishani wakiwemo mama yake Sandra, mchumba wake Zari, mwanae Tiffah, mameneja wake na wengine 4. Ni Bongo Flava halisi (yenye vionjo vya pwani) ambayo kwa ukubwa wake inakuwa na maana zaidi kwa sasa kufanya nyimbo za aina hiyo ili kuitangaza kimataifa kutokana na ukubwa wake Afrika na duniani kwa ujumla. 5. Wimbo umetumia asilimia 100% Kiswahili. Hii inawafanya wengi wasioelewa Kiswahili kuhangaika kukijua walau kidogo na matokeo yake ni kuwa lugha inasambaa zaidi 6. Imeleta utamu wa kutumia mastaa wengine wa kibongo kwenye video kubwa (cameos). Ndani wameonekana mastaa kama Mwana FA, Shaa, Chege, Master Jay, Harmonize, Wolper 7. Kawakumbuka mashabiki wake waliokuwa wakijitokeza uwanja wa ndege kumpokea kutoka kwenye tuzo 8. Unaweza kuingia mkwanja kwenye video yako pia. Dr Mwaka na kliniki yake imepunguza gharama alizotumia kumlipa Godfather 9. Unaweza kumtumia ex wako pia kama video queen.. no hard feelings!! Vipi kuhusu Sepetunga lakini? 10. It’s a brilliant video and a masterpiece!!

Will Smith spotted goofing around behind wife, Jada Pinkett

$
0
0
Actor Will Smith was spotted at last night's Diamond Ball making naughty hand gestures at his wife's butt...

BONGO MOVIE TANZANIA; UDAKU NA UMBEA WASTARA: NAJUTA STAREHE ZIMENIPONZA

$
0
0
 
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni mlemavu. 
Akipiga stori na paparazi wetu Wastara alisema, tangu alipopatwa na tatizo hilo la mguu kwenye fikra zake hakutaka kukubali matokeo, siku zote alipenda aishi kama alivyokuwa mzima ikiwa ni pamoja na kwenda kwenye muziki na kucheza. 
“Siyo siri nilijisahau sana, sikupenda kujiona mlemavu, nilikuwa naishi kama mtu wa kawaida tu. 
Sasa hivi najuta kwa kutozingatia matunzo ya mguu wangu maana nilikuwa najiachia sana hususan linapokuja suala la muziki. Sasa nimeamua kukubaliana na hali halisi kama walivyo walemavu wengine,” alisema Wastara.

ADELE TENA ATAWALA TUZO ZA BBC

$
0
0
Nyota wa muziki wa Pop Adele ametawala tuzo za pili za BBC baada ya kushinda tuzo ya msanii bora Uingereza na maonyesho bora ya moja kwa moja.
Mwanamuziki huyo hakuweza kuhudhuria sherehe hiyo,lakini alituma ujumbe unaosema nimefurahi sana, nilitoa muziki wangu mpya hivi karibuni.
Mwanamuziki wa Ireland Hozier alishinda tuzo ya wimbo bora wa mwaka 'Take me to Church'.
Taylor Swift pia alishinda tuzo ya msanii bora wa kimataifa huku akikubali tuzo hiyo kupitia video akiwa nchini Australia.
''Mungu wangu tuzo hii ni nzito sana.nafurahi sana kwa kunitumia kwa sababu lazima imewagharimu'
Adele_2

Diamond Platnumz Video - Utanipenda Lyric with English Translation

$
0
0



This one is for my all People who don't Speak Swahili....I know you would love to understand what i am singing about in this Song.... Have got your traslated Version now.. go Youtube and search for Diamond Platnumz - Utanipenda Lyric with English Translation

DIVA LOVENESS LOVE AND ALI KIBA MAKES PEOPLE TALKING AFTER SPOTTED TOGETHER IN SOCIAL MEDIA PHOTO'S TOGETHER WITH KISSES

$
0
0
Diva and Ali kiba can this massage shared with diva can describe which kind of relationship between this two celeb or photo's leaked when spotted at different angle can speak all? Must see photo's and what Diva said.


MASTAA BONGO TANZANIA;Gardiner afungukia kufulia kwa Jide

$
0
0
maxresdefaultMtangazaji wa Redio EFM ya jijini Dar, Gardiner G. Habash amefungukia madai ya kwamba zilipendwa wake, Judith Wambura ‘Jide’ amefulia huku akisema anachojua ni kwamba huenda ishu ya nyota zao ndiyo chanzo.
Gardiner aliyasema hayo alipokuwa kwenye mahojiano maalum na Mtandao hili ambapo alipoulizwa kama kuvunjika kwa ndoa yao ndiyo sababu ya mkewe huyo wa zamani kuyumba, alifunguka:
1901342_10152388729030025_5163726001062308245_n“Chachu ya mafanikio yake huenda ilitokana na nyota zetu kupatana na ndiyo maana mambo mengi yalienda shwari.”
Mwandishi: Una mpango gani kuhusu ndoa tena?
Gardiner: Kimya kingi kina mshindo, subirini kishindo.
Mwandishi: Unajisikiaje kuishi bila Jide?
Gardiner: Najisikia poa tu ila mwanzo nilipoachwa niliumia sana, tena sana mtu wangu.
Mwandishi: Akikuomba msamaha uko tayari kurudiana naye?
Gardiner: Unajua yule wamezaliwa mapacha, kinyota watu kama hao siyo rahisi kujishusha au kuomba msamaha hata pale inapobidi.
Mwandishi: Kuna madai kuwa baada ya ndoa yenu kwenda mrama mmeamua kugawana mali, hili lina ukweli?
Gardiner: Hilo swali naomba nisijibu tafadhali.

Movies 2015; Unaweza Ukahisi Kwa Mwaka 2015 Pekee Ni Movies Ngapi Zimetoka?

$
0
0


Unaweza Ukahisi Kwa Mwaka 2015 Pekee Ni Movies Ngapi Zimetoka?? Jumuisha Cartoon, Sijui Animation Na Za Kawaida?? Okay Kwa Mwaka 2015 Pekee Ni Zaidi Ya Movies 10,290 Zimekuwa Realesed!! Unashangaa Chukua Hiyo! Tutatazama Zile Movies Ambazo Zimepata Nafasi Ya Kuingia Katika Nominee's Mbalimbali Katika Tuzo. Ila For Now Taja Movies Zako 5 Ama 10 The Best Kwako Kwa 2015. Ila Pia Kabla Mwaka Haujakwisha Nitasogeza Zile 100 Bora

Kuapishwa kwa baraza jipya la mawaziri leo desemba 12 ikulu

$
0
0


Kuapishwa Mawaziri wa #RaisMAGUFULI December 12 2015 Ikulu Dar es Salaam

Angalia picha za show za msanii vanesa mdee zilizoleta utata kwenye mitandao ya kijamii

Mwanaume mmoja kiziwi, auawa kinyama katika kijiji cha Businda Wilayani Bukombe

$
0
0


Mwanaume mmoja kiziwi, auawa kinyama katika kijiji cha Businda Wilayani Bukombe, akatwa sehemu zake za siri na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Mponjoli Mwabulambo amesema Jeshi la Polisi limeshaanza kufanya uchunguzi.

Historia kwa ufupi ya lemutuz

$
0
0


lemutuz akifunguka;"MTAKA CHA UVUNGUNI LAZIMA UINAME" ni kazi ya kuendesha haya Malori kama kwenye Picha ndiyo imenisadia kujisomesha mwenyewe Degree 3 nilipofika Majuu nikakuta kazi ya kulea Wazee na Kulinda usiku ndio zinapatikana kwa urahisi sana na Wabongo wengi wanazifanya ninakumbuka siku ya kwanza nimepelekwa na mshikaji Mganda kwenye kazi ya kuwalea Matahira Oh my God!...nilikaa Dakika 15 tu hata aliyenipeleka sikumuaga nikatafuta Kazi ya Gas Station attendant mchana na usiku nikawa nakaanga Kuku at KFC huku ninajisomea namna ya kuendesha Malori makubwa baada ya Wiki Tatu nikajiaminisha na kwenda kufanya mtihani mgumu sana wa kuendesha yale Malori nikafanikiwa kupass so nikapewa Permit lakini sijawahi kuyagusa hata siku moja in my life...nikaenda Kampuni inayohusika na Malori hayo 18 Wheels nikawaomba kazi yoyote mle ndani kusudi nipate fursa ya kujifunza kuendesha niwafanyie kazi wakanikubalia baada ya kuwaonyesha permit yangu ya CDL Class A so kazi zinaanza rasmi Saa Moja mimi nilikuwa ninaenda kazini Saa 10 na Nusu Asubuhi naanza kujifunza mwenyewe pole pole within 4 weeks nilikuwa tayari ninaweza kuendesha Malori ya kawaida na in Six Months nilikuwa tayari nimefikia lengo langu la kuendesha Malori kama ya kwenye picha juu kazi ambayo Mshahara wake ulikuwa USD $ 25 kwa Saa..nikaanza kupiga trip New York to LA to Miami I mean US nzima...ndiyo kazi iliyonisaidia kusoma na kuishi maisha ya kifahari sana muda wote nilioishi Majuu baada ya juhudi zote hizi za kupigana na maisha usiku na mchana Wabongo niliowakuta wameridhika na kulea wazee wakaanza kunirushia majungu ya kuuza Unga hahaha nilidhani tukifika Mbelezzz tutabadilika kumbe bure hahaha...now guys my point is ukitaka cha Uvunguni lazima utoke jasho kumbuka always maisha yanayopatikana kwa urahisi au njia za mikato na mwisho wake huwa ni hivyo hivyo wa kirahisi rahisi au kwa mikato..na kwenye kupigana kutoka kimaisha sio lazima uige njia za wengine nisingekataa kulea wazee mpaka leo ningekuwa kama washikaji wengi niliowaacha yaani nalea Wazee na Matahira I mean kazi ni kazi lakini sio lazima kuwa na akili kama wote JITOFAUTISHE na WENGINE

Ethiopia's Grand Anwar Mosque hit by 'grenade attack'

$
0
0

A grenade attack during evening prayers has wounded at least 10 people at the biggest mosque in the Ethiopian capital of Addis Ababa, the government said.
Authorities are unsure who is behind the attack at the Grand Anwar Mosque but are investigating, Information Minister Getachew Reda said.
The Addis Standard earlier reported the noise heard in the area was the result of an electrical pole collapsing.
Image result for Ethiopia's Grand Anwar Mosque hit by 'grenade attack'
Several rebel groups are fighting low-levels insurgencies in Ethiopia.
A court in Ethiopia sentenced 18 Muslims , including clerics and a journalist, to up to 22 years in prison under controversial anti-terrorism legislation in August.
Share this story About sharing

ANGALIA PICHA YA VITUKO NA VICHEKESHO PANYA AKINY MAZIwA

HAPPY INDEPENDENCE DAY TO KENYAN COUNTRY

$
0
0


Happy independence (Birthday) Kenya - My Second Home. Nawapenda Mungu awajaalie amani na upendo siku zote

HADITHI: NIMEKOSA NINI? sehemu ya 2

$
0
0

ILIPOISHIA....
“Halafu linaonekana ni tukio kubwa sana, yaani mpaka polisi wamekuja!” Nilijiwazia huku nikitembea kwa tahadhari kuelekea ofisini.
SASA ENDELEA...Image result for Simulizi: Nimekosa nini? sehemu ya 2
Kabla sijajichanganya kwenye umati wa watu niliamua kumuuliza jamaa mmoja ambaye alikuwa pembeni akivuta sigara yake, naona aliamua kujitenga pembeni kidogo ili aendelee kuunguza mapafu yake peke yake bila kumbughudhi wala kumkera binadamu mwingine kwenye huo mkusanyiko.
“Habari za asubuhi kaka!” Nilimpa hai kama ilivyo kwa mtu muungwana kama mimi.
“Safi tu ndugu yangu!” Alijibu jamaa huyo kisha akaitikisa sigara yake, kitendo ambacho kilisababisha idondoshe majivu ilipokuwa imechomeka. Wakati naendelea kumuongelesha aliipeleka tena mdomoni na kupiga pafu moja huku akinisikiliza kwa makini.
“Hivi kuna nini hapo, maana watu wamejazana na si kawaida yake?” Nilimswalika tena bwana masigara.
Kabla hajanijibu alipuliza moshi wa sigara kwanza ndipo akatoa jibu la swali nililokuwa nimemuuliza.
“Pamevamiwa usiku wa kuamkia leo!” Aliongea kisha akapiga pafu kadhaa mfululizo kisha akatupa filta ya sigara aliyokuwa akivuta maana ilikuwa imeshaisha.
Nilipofika kwenye umati ule nikaanza kuangaza angaza ili nimuone bosi wetu ama mfanyakazi mwenzangu yeyote ili nipate kumuulizia kwa kinaga ubaga juu ya tukio lililokuwa limetokea kwenye ofisi yetu hiyo.
Hata hivyo sikuweza kumuona mtu yeyote niliyekuwa namfahamu. Nikapenyapenya mpaka nikafanikiwa kufika wenye mlango wa kuingilia. Nikiwa hapo mlangoni niliweza kuisikia sauti ya bosi wetu ikilalamika mle ndani,
“Sikutegemea kabisa kama huyu kijana atatugeuka kiasi hiki, ukiangalia tabia yake na utendaji wake wa kazi haviendani kabisa na tukio hili alilolifanya, kumbe umdhaniae siye huwa ndiye.”
Kauli ile ilinifanya nianze kujiuliza,
“Inamaana tayari mwizi kashapatikana na tunafanya naye kazi kwenye hii hii kampuni, watu wengine sijui wakoje, yaani pa kulia yeye anapafanya msalani.” Nilijikuta nikikilaani sana kitendo kile huku sijui ni nani aliyekuwa amekifanya.
Kwa haraka haraka nikaanza kuwapima wafanyakazi wenzangu mmoja baada ya mwingine katika akili zangu kama kuna anayeweza kufanya upuuzi kama huo. Hata hivyo wote niliwaona ni waadilifu na wenye tabia njema.
“Labda mmoja kati yao shetani kamwingia na kujikuta anafanya utumbo kama ule!” Nilijiwazia mwenyewe. Wakati huo sasa akili yangu ilinituma niende huko ndani alikokuwepo bosi wetu ili nikazisikie habari zote kwa kina.
Niliingia nikamkuta bosi wetu akiwa na makachero kadhaa wakipekuapekua chumbani mle ambamo ndiyo ilikuwa ofisi ya bosi kubwa. Pale mezani kompyuta ya ‘marking tosh’ niliyozoea kuiona kila ninapoingia ofisini humo sikuiona siku hiyo. Akili yangu ikanituma kuwa huenda hata hiyo imebebwa na watu waliokuwa wanasemekana kuvamia.
“Habari za asubuhi bosi!” Nilitoa salamu kwa bosi wangu. Hata hivyo hakuongea chochote, kwa lugha nyepesi alinichunia. Nikaanza kujiuliza kwa nini sasa ananichunia? Au ndiyo kusema kachanganyikiwa na tukio la kuvamiwa au hajanisikia tu? Sikupata jibu.
Niliamua kurudia tena huku nikiongeza sauti ili kama hakusikia ile mara ya kwanza basi mara hii anisikie, kama ni kauzibe basi napo ningeweza kung’amua.
“Bosi nakusalimia!” Nilipayuka kwa sauti ya juu kiasi lakini bado mambo yalikuwa vilevile, tena safari hii aliniangalia na kunikazia macho kisha akaangalia pembeni, nadhani alitaka kunidhihirishia kabisa kwamba hata ile mara ya kwanza alikuwa kanisikia ila ila ‘alinikaushia’ tu.
Baada ya kuona hali hiyo niliamua kuwasalimia makachero waliokuwemo chumbani humo. Wao waliitikia wala hawakuninyamazia.
Mara nilimsikia bosi wangu akimwambia kachero mmoja aliyekuwa karibu naye,
“mtu mwenyewe ndiyo huyu!”
Niliposikia hivyo moyo wangu ulilipuka pu! Nilianza kujiuliza ni kitu gani mimi nimefanya.
“Kumbe ndiyo huyu!” aliongea afande huyo huku akinigeukia na kuniambia,
“bwana Jerry, kuanzia sasa upo chini ya ulinzi!” Aliniambia kachero huyo ambaye uso wake ulionekana kubadilika kwa wakati huo.
KWA NINI JERRY KAWEKWA CHINI YA ULINZI? USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA!

Tanzania na Nigeria zatajwa kama nchi pekee zilizofanikiwa kuratibu maabara

$
0
0


Tanzania na Nigeria zatajwa kama nchi pekee zilizofanikiwa kuratibu maabara zinazohamishika kwa ajili ya mapambano dhidi ya Ebola. Maabara hii inaweza kusafirishwa mpaka kwenye maeneo yaliyoathirika, ikiwa ndani ya masanduku yaliyofungwa vyema

ANGALIA PICHA ZA AFTER XUL BASH INAYOFANYIKA MIKOCHENI ESCAPE ONE

$
0
0




Stay tune hapo baadae tutakuletea picha zote za after xul bash inayofanyika escape one leo kaa mkao wa kula na makubwahaya blog.
Viewing all 6599 articles
Browse latest View live