Quantcast
Channel: Makubwa Haya website entertinment celebrity News of Tanzania
Viewing all 6599 articles
Browse latest View live

TANZIA YETU;Salam za Rais Magufuli kwa Wananchi katika Kuadhimisha Miaka 54 ya Uhuru

$
0
0

Namshukuru Mwenyezi Mungu aliyeiwezesha nchi yetu kutimiza miaka 54 ya uhuru kwa salama na amani. 
 
Namshukuru Mungu pia kwa kuniwezesha kuiona siku hii nikiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 
 
Napenda kuchukua fursa hii, kuwapongeza Watanzania wenzangu kwa Taifa letu kutimiza 54 ya Uhuru tarehe 09 Desemba, 2015.
 
Napenda kuwahakikishia kwamba, kama ilivyokuwa kwa Serikali za awamu zilizopita, Serikali ya Awamu ya Tano itafanya kila lililo ndani ya uwezo wake kuhakikisha kwamba Uhuru, Amani na Umoja na wa Taifa letu hauchezewi na mtu, kikundi au Taifa lolote.
 
Tutaendelea kudumisha Uhuru wetu na Mapinduzi ya Zanzibar, tunu ambazo ni msingi wa Muungano wetu na Utanzania wetu.

Tofauti na ilivyozoeleka tumeamua mwaka huu kusherekea kumbukumbu hizi kwa kufanya kazi,. Wakati tunapata Uhuru Taifa letu lilikuwa likiongozwa na kauli mbiu ya UHURU NA KAZI. 
 
Kauli hii ilikuwa na lengo la kuamusha moyo na uzalendo wa kufanya kazi miongoni mwa Watanzania kwa kutambua kuwa uhuru wetu hautakuwa na maana kama hatutafanya kazi kwa juhudi na maarifa ili kujenga Taifa linalojitegemea.
 
 Watanzania katika miaka ile waliitikia wito huo kwa kufanya kazi za kuwaongezea kipato na za kujitolea katika kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwaletea maendeleo.
 
 Katika miaka ya hivi karibuni moyo na uzalendo wa kufanya kazi miongoni mwetu umepungua sana. Kwa sababu hiyo, niliamua kutumia siku ya kumbukumbu za uhuru wetu mwaka huu kukumbushana na kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu ya UHURU NA KAZI kwa kufanya kazi hususan ya usafi wa mazingira. Madhimisho ya Uhuru mwakani yatasherehekewa kama kawaida.

Nawapongeza viongozi wa Mikoa na Wilaya na wa Taasisi za umma na binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali yaliyojitokeza katika kuhakikisha kuwa zoezi la usafi wa mazingira linafanikiwa.

Napenda kutoa wito kwa Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinaweka mifumo na taratibu thabiti zitakazowezesha usafi wa miji yetu kuwa endelevu. 
 
Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri waache visingizio, uwezo na mamlaka ya kuhakikisha kwamba usafi katika miji yao unadumishwa wanao. Uwezo wa utendaji wao utapimwa pia kutokana na hali ya usafi wa miji yao.

Naomba wananchi tushirikiane katika kuhakikisha kuwa nyumba na mazingira ya nyumba zetu yanakuwa safi na maji ya kunywa katika maeneo ambayo hayawekwi dawa yanachemshwa.
 
 Aidha, wananchi wajizuie kutupa taka ovyo na viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wahakikishe kwamba kila nyumba inakuwa na choo.
 
 Tutashinda vita dhidi ya maradhi kama kipindupindu ikiwa sote tutazingatia kanuni za afya. Kila mtu atimize wajibu wake.

Mwalimu alisema Uhuru na Kazi na mimi nasema Hapa Kazi Tu.

GOOGLE WISHES TANZANIAN HAPPY INDEPENDENCE DAY TANZANIA

ANGALIA PICHA ZA BAADHI YA MSTAA TANZANIA WAKIFANYA UDAFI KATIKA MAENDEO YAO

Angalia picha za Raisi john pombe magufuli na kikwete wakifanya usafi leo jijini dar es salaam 9 desemba

$
0
0




Ikiwa ni usafi day pichani ni Dk.J P Magufuli akifanya usafi na kukusanya takataka .. je vipi mtaani kwako unafanya usafi???

Car from Japan is giving away 2 cars and US 20,000 ++ worth of gift marry xmass

$
0
0


Car from Japan is giving away 2 cars and US 20,000 ++ worth of gift marry xmass
APPLY HERE

ANGALIA PICHA ZA SHOO YA DIAMOND THE PLATNUMZ JIJINI ARUSHA TRIPPLE A

9 DESEMBA SIKU YA USAFI;Picha 3 za Waziri Mkuu Akishirikiana na Wananchi Kufanya Usafi Kariakoo

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. 
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.

HABARI ZETU;LIST NZIMA YA GRAMMY’S AWARD 2016

$
0
0
Album of the Year
“Sound & Color” Alabama Shakes
“To Pimp a Butterfly” Kendrick Lamar
“Traveller” Chris Stapleton
“1989” Taylor Swift
“Beauty Behind the Madness” The Weeknd
Best New Artist
Courtney Barnett
James Bay
Sam Hunt
Tori Kelly
Meghan Trainor
Record of the Year
“Really Love” D’Angelo and The Vanguard
“Uptown Funk” Mark Ronson feat. Bruno Mars
“Thinking Out Loud” Ed Sheeran
“Blank Space” Taylor Swift
“Can’t Feel My Face” The Weeknd
Song of the Year
“Alright” Kendrick Lamar
“Blank Space” Taylor Swift
“Girl Crush” Little Big Town
“See You Again” Wiz Khalifa feat. Charlie Puth
“Thinking Out Loud” Ed Sheeran
Best Pop Duo/Group Performance
“Ship To Wreck” — Florence + The Machine
“Sugar” — Maroon 5
“Uptown Funk” — Mark Ronson Featuring Bruno Mars
“Bad Blood” — Taylor Swift Featuring Kendrick Lamar
“See You Again” — Wiz Khalifa Featuring Charlie Puth
Best Dance Recording
“We’re All We Need” — Above & Beyond Featuring Zoë Johnston
“Go” — The Chemical Brothers
“Never Catch Me” — Flying Lotus Featuring Kendrick Lamar
“Runaway (U & I)” — Galantis
“Where Are Ü Now” — Skrillex And Diplo With Justin Bieber
Best Rock Performance
“Don’t Wanna Fight” — Alabama Shakes
“What Kind Of Man” — Florence + The Machine
“Something From Nothing” — Foo Fighters
“Ex’s & Oh’s” — Elle King
“Moaning Lisa Smile” — Wolf Alice
Best Alternative Music Album
Sound & Color — Alabama Shakes
Vulnicura — Björk
The Waterfall — My Morning Jacket
Currents — Tame Impala
Star Wars — Wilco

Hatimaye Lowasa ampongezi magufuli kwa kasi ya kufanya kazi..

KIFO CHA MAALIM SEIF

$
0
0
Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali taarifa zilizosambazwa na watu ambao hawajajulikana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki.
Akiongea na ITV, Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano na Umma wa chama hicho, Ismail Jusa amesema kuwa taarifa hizo zina lengo la kuvuruga amani na usalama wa nchi kwa kutengeneza taharuki.

Jusa ametoa wito kwa vyombo vya usalama kuchukua hatua stahiki kwa waliopika na kusambaza habari hizo kwa kuwa mbali na kuwa kiongozi wa chama na mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif ni Kiongozi wa ngazi za juu wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar..

“Yeyote aliyekuwa nyuma ya kusambaza uvumi huu hakuwa na nia njema. Na utaona kama ina malengo ya kisiasa kwa sababu taarifa yenyewe imehusishwa kwamba eti tukio hilo limetokea baada ya kujaribu kuwashawishi wajumbe wa vikao vyake vya CUF eti wasaini waraka wa kutaka uchaguzi urudiwe, jambo ambalo halipo,” alisema Jusa.

Taarifa hizo za kugushi zilizosambaa ziliwekewa nembo ya mtandao wa Facebook wa ITV, hali iliyokilazimu kituo cha ITV kukanusha vikali kuhusika na taarifa hiyo.

Katika hatua nyingine, Jusa alieleza kuwa msimamo wa CUF kuhusu uchaguzi wa Zanzibar uko wazi kuwa hakuna kurudia uchaguzi na kwamba mshindi ambaye wanaamini ni Maalim Seif atangazwe

Mhe Paul Makonda kawatembelea wananchi wa kata ya Kwembe ambao nyumbazao 56 zimebomolewa nje ya utaratibu

$
0
0


Baada ya usafi jioni ya Leo Mhe Paul Makonda kawatembelea wananchi wa kata ya Kwembe ambao nyumbazao 56 zimebomolewa nje ya utaratibu na mtu mmoja aliekodi watu na kuvunja nyumba na kupelekea zaidi ya watu 269 hawana hata pakulala na wengine wakiwajeruhi kwa kosa la kujaribu kuokoa vitu vyao na huku akitoa tishio kwa kaya zingine 986 kuwavunjia. Dc Makonda amewasikiliza kwa makini na kuwaahidi kulifanyia kazi kuanzia kesho asbh pamoja na hilo amewasaidia chakula cha siku 7..

Floyd Mayweather reacts to Chrissy Teigen's tweet saying she hopes his pet tiger eats him

$
0
0
Last week boxer Floyd Mayweather shared a photo of a rare and exotic tiger from India he said he received as a gift. A lot of people had something to say about it...PETA, Social Media users and of course, Chrissy Teigen who kinda suggested that she hopes Floyd gets eaten by his pet tiger..lol
"I 'm okay with people having pet tigers because it increases their chances of being eaten by a tiger" she tweeted.
In an interview with Fight Hype, Mayweather was asked about what Teigen said about him on Twitter. He claims not to know who she is. What he said after the cut...

"The thing is I’ve never had anything negative to say about John Legend," he said. "I really don’t even know what his wife does, whoever she may be. I’ve never seen John Legend’s wife in my life. If I did, I probably just don’t remember it. But the thing is this: I’m pretty sure she has a lot going on in her life, but you know, I’m something to talk about, so that can be something else. I am something to talk about. You see, when she spoke on me, she got her name in the public eye, so that’s kind of cool of her. I said this many, many, many years ago. I’m not perfect, I can contradict myself, but I think that people spend too much time worried about what other people are doing."

Al Jazeera cameraman dies in Syria's Homs

$
0
0
  • Zakaria Ibrahim died days after he was injured while covering a Syrian army bombardment in the central province.

Ibrahim was injured in the head after he went to film the bombardment in Homs province [Al Jazeera]

Al Jazeera cameraman Zakaria Ibrahim has died six days after he was injured by shrapnel while covering a Syrian army bombardment in the province of Homs.

Ibrahim, who died from his injuries on Monday, was in the village of Teldo to report on what was expected to be a ceasefire there between rebels and the forces of President Bashar al-Assad.

"The Al Jazeera crew was preparing to report on the agreed-upon truce before [the Assad] regime forces targeted Teldo," Jalal Abu Sulaiman, an Al Jazeera reporter in the city, said.

Ibrahim was hit by shrapnel while filming the bombardment, Abu Sulaiman said. The shrapnel was removed on the same day by medical staff but his condition remained critical.

He had worked as a cameraman with Al Jazeera for more than a year and had filmed numerous clashes and peace agreements in Homs.

Homs saw some of the biggest protests of the early uprising against Assad and later some of the fiercest fighting when opposition forces took up arms after a government crackdown.

Assad forces control most of Homs, with the exception of some parts of the north. Several peace deals have been agreed between regime forces and rebels in different parts of Homs in recent days.

More than 250,000 people have been killed since Syria's conflict began in March 2011, a number of Al Jazeera journalists among them. 

Last September, Ahmad Abdel Karim Masalameh, an Al Jazeera reporter in Deraam, died while covering the fighting there. 

In December 2014, Al Jazeera's Mahran al-Dairi was killed while reporting on clashes between regime troops and rebels in Deraa.

Mohammad Jalil al-Qasem was killed in Sepember 2014 in the suburbs of Idlib.

On December 4, 2013, cameraman Yasser al-Jumaili was shot multiple times as he tried to leave Syria by road after finishing an assignment.

In January 2013, Mohammad al-Hourani, an Al Jazeera correspondent in Deraa, was killed by a sniper in the suburb of Busra al-Harir.

Syria is the most dangerous country in the world for journalists, according to the Committee to Protect Journalists. Since the start of the uprising, dozens of journalists have been killed and scores abducted.

NIGERIA VS UGANDA;D’Banj akubali mchango wa Jose Chameleone kwenye muziki,na wasanii hawa pia

$
0
0
Msanii kutoka Nigeria D’Banj ameongelea mchango wa Jose Chameleone kwenye muziki Africa na kusema ni mtu mwenye ushawishi mkubwa.DBanj Chamili
D’Banj alikuwa Kampala hivi karibuni anasema anamuhishimu sana Jose Chameleone na anajua mchango wake katika muziki Africa. D’Banj anasema anamjua mshindi wa tuzo ya BET Eddy Kenzo ila hakujua anatoka Ugandan.
D’Banj alimtaja Bebe Cool kama baba wa muziki na kusema anamjua kabla yeye hajawa maarufu,wasani wengine waliotajwa ni pamoja na Radio na Weasel na kusema alifahamiana nao mwaka 2011.

MUSIC TANZANIA;Hussein Machozi Atangaza Kuacha Muziki !

$
0
0
Hussein Machozi ametangaza uamuzi wake wa kuacha kufanya muziki kutokana na kuona kwamba hakuna faida yoyote anayoipata kupitia muziki kwa muda mrefu .
hussein
Machozi ambaye jina lake halisi ni Hussein Rashid ni msanii wa Bongo fleva wa muda mrefu ambaye amewahi kutengeneza hits kadhaa ikiwemo ‘Kwaajili Yako, ‘Utaipenda’, Full Shangwe, na zingine.
Hussein ametangaza uamuzi huo kupitia Planet Bongo ya East Africa radio.
“Kubwa ambalo nataka niwasimulie Watanzania ambalo ninalo leo hii kwamba very soon ntaachia ngoma yangu mpya na ni ya mwisho kabisa kwa Hussein Machozi, namaanisha naacha muziki, naacha Bongo fleva nakuwa mtu wa kawaida raia wa kawaida ambaye nitaishi maisha yangu ya kawaida.” Amesema Hussein.
Ametoa sababu za kuchukua uamuzi huo mgumu kwake.
“ Sababu ni kwamba kuna kitu ambacho kikubwa nakifanya kwenye maisha yangu ambacho kitanibadilishia maisha yangu kiurahisi kwasababu ninakimudu kufanya,” alieleza.
“Nasikia vibaya sana na inaniuma sana kuwaacha Watanzania kwa style kama hii, ukiangalia kwa hali ya haraka haraka huwezi endelea kufanya kitu ambacho hakikuingizii kwa sasa hivi kwasababu masha yamebadilika, huwezi kuwa unafanya muziki tu unatoa muziki wenyewe hauingizi” alisema Hussein.
Hussin ameongeza kuwa wimbo mpya anatarajia kuuachia wiki mbili zijazo ni zawadi kwa mashabiki waliom-support kwa kipindi chote alichokuwa akiwaburudisha.
“Na pia nafanya hivyo kwasababau ya heshima ya Watanzania sipendi kuwaacha vibaya kwahiyo nimeamua kuwapa hiyo zawadi ambayo itatoka baada ya wiki mbili kwa heshima kwao kwasababu bado nina mapenzi kwao siwezi kuondoka tu hivi hivi ni bora niwaache na kitu ambacho angalau watakaa kumkumbuka Hussein Machozi alituachia kitu hiki wakati anaacha muziki.” Alimaliza Hussein Machozi.

YASEMEKANA HII NDO NGUO RAISI JOHN POMBE MAGUFULI ANAYEPENDA KUIRUDIA KUIVAA

$
0
0


Ile nguo ambayo unaipenda kuliko zote kila mara unajikuta unaivaa tu....

Picha za vituko zilizmake headline baada ya watu kumaliza kufanya usafi 9 desemba

ZAWADI ZA GARI MBILI ZINATOLEWA NA KAMPUNI YA MAGARI KUTOKA JAPAN.

$
0
0


Car from Japan is giving away 2 cars and us $20,000 ++ worth of gift merry xmass! x mas car give away 2015 APPLY HERE

VITALI MAEMBE ABAKI NA MASWALI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU

$
0
0

MWANAMUZIKI wa nyimbo za asili VITALI Maembe mwenye Maskani yake Bagamoyo mkoani Pwani aliyetamba na nyimbo iliyojulikana kwa jina la ' Sumu ya Teja'
Kupitia ukurasa wake wa facebook Mwanamuziki huyo ameandika “Mh. Rais! Wazo zuri lakini siku sio yenyewe Baba!Tangu Tanganyika ipate Uhuru ni miaka 54 sasa lakini tangu izikwe bila kufa ni miaka 50 sasa! 
Nikiwa naitafakari Furaha ya waliokuwapo siku ya Jumamosi ya Tarehe 09/12/1961
Kuishusha Bendera ya Mkoloni na Kupandisha Bendera ya Tanganyika Huru!
Najipa moyo nakamata Beleshhi langu, nakamata Fagio na Reki najaribu kuvitumia vyote kwa pamoja, lakini naishiwa nguvu! Bhabha!
Inawezekana ikawa ni kweli sina sababu ya kusherehekea Uhuru wa Nchi yangu lakini haiwezekani nikawa sina sababu ya kutafakari Uhuru wangu! 
Mzanzibari ana haki ya kujiita Mzanzibari na kukataa kujiita Mtanzania Visiwani, lakini mimi nalazimishwa kujiita Mtanzania Bara na nikijiita Mtanganyika naambiwa ni dhambi, dhambi ya kukataa Muungano.
Bado tu sina haki ya kutafakari Uhuru wangu? 
Niitumie siku hii tukufu kushika taka na kuziweka upenuni na kuzitazama nikitafakari wapi pa kuzitupa kwakuwa kuna Amri ya kusafisha lakini hakuna pa kutupa taka? Hakuna majalala rasmi kila unapotaka kutupa unaambiwa usitupe hapo na ni kweli hapafai kutupa, Tumezibua mitaro na maji taka bado hayaendi mifumo ya maji taka na maji safi yote imefumuka, mimi leo siutafakari Uhuru wangu na wala sina uwezo Wa kutafakari kingine zaidi ya taka. 
Nafikiri Mimi wacha nijifanye kuwa nimeielewa hivi hii Fasihi ya Mheshimiwa Rais, kwamba...
'Tusafishe Moyo yetu, Tuzibue mitaro na mabomba/mifereji ya fahamu na Akili zetu, ili tuwe Huru kweli kweli'
Watanganyika!
Ikumbukwe kuwa, Kwa sababu za kisiasa, na siri sirini Muunganoni tunalazimishwa kuiita Nchi yetu "Tanzania bara" na sisi kujiita Watanzania Bara badala ya Watanganyika ingawa wengine tupo Mafia na Kilwa kisiwani.
Hatukumwaga Damu lakini Tumetumia Damu! Hatukutumia Mtutu Wa Bunduki lakini tumetumia Akili na Jasho.
Tanganyika ilikuwa eneo linalotawaliwa na Uingereza kuanzia 1919.
Baadae Wazee wetu walipambanaTanganyika ikawa nchi huru,
Uhuru ambao haukupatikana Kwa kumwaga damu lakini kwa Kuitumia Damu na Jasho.
Uhuru uliodumu kati ya 1961 hadi 1964. Uhuru na Unchi uliodumu Kwa muda mfupi kuliko.Wazee wetu walipitia vipindi vigumu!Baada ya Biashara za Utumwa, kudhalilishwa na kunyanyaswa kwa miaka na mikaka! Walikuja Wajerumani na Manyanyaso yao, kisha Mwaka 1919 sehemu kubwa ya koloni la Kijerumani ilikabidhiwa rasmi mikononi mwa Uingereza kama eneo la kudhaminiwa chini ya mamlaka dhalimu ya Shirikisho la kishenzi la Mataifa kulingana na kifungu 22 cha mkataba dhalimu Wa Kizungu.
Mwaka 1922 Shirikisho la kishenzi la Mataifa lilithibitisha hatua hiyo na kuamua masharti ya kukabidhi.
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni hilo na tangu Januari 1920 wakaamua kuliita Bustani ya Tanganyika "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la ziwa kubwa upande wa mashariki mwa Afrika.
Nimechanganyikiwa!
Bado nashindwa kuamini kuwa nahitaji Kuutafakari Uhuru wangu Kwa kuzoa taka? Na sio kujiuliza kwanini wenzetu wana Bendera, Serikali, Wimbo Wa Taifa, Bunge, Katiba na Mamlaka na sisi tunanyimwa!
Tena Bado katika siku 366 za mwaka mmeiacha Valentine Day, X day, E day na I day nimechaguliwa 'Uhuru Day' iwe siku yangu ya kutafakari Taka?!!? Ni

SIRI NZITO KUHUSU SIKU YA ALHAMISI KUTOKA RAISI JOHN POMBE MAGUFULI

$
0
0

Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia mienendo ya rais wetu tokea mwezi sasa aapishwe na kuanza kazi, kikubwa nilichojifunza ni kuwa siku ya Alhamisi ndiyo siku yake ya bahati ambayo huitumia kufanya mambo yake ya msingi, Ukianza kufuatilia tokea ameapishwa mpaka leo mambo yote amekuwa akifanya siku ya Alhamis.
Alitangazwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilikuwa ni simu ya ALHAMISI ya tarehe 29 Oktoba 2015, aliapishwa ALHAMISI ya tarehe 5 Novemba, 2015. Wakati huo alimteua Waziri Mkuu siku ya ALHAMISI ya tarehe 19 Novemba 2015, na sasa ameteua Baraza la Mawaziri leo ALHAMISI ya tarehe 10 Desemba 2015. Hata Yesu aliwaaga wanafunzi wake na kula nao chakula na kuwaosha miguu ni ALHAMIS KUU
Viewing all 6599 articles
Browse latest View live